Mkuu hayo mamlaka yatakua ya ajabu sana yaani yakupe malaka ya kuteua yakunyime kutengua??? Angalia Ghana kwa mfano, 29ThJune, 2018; Rais wa Ghana aliwatimua viongozi watatu waandamizi wa tume huru (refer to...
Skia!
Enyi mlio jirani nae, mwambieni asiogope, mstueni janja yao wanajua hawana chao. Mwambieni ukweli kwamba the so called “Tume Huru (TH)” hiyo kwake ni mbachao, amkumbatie aende nae awaachie msala wao.
Wanatambua hawawezi na hawajui walitakalo, wameishiwa hadi nauli na chomboni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.