Recent content by Ngoyoni 5

  1. N

    Wakili Msomi Evod Mmanda aombwa kugombea Ubunge Jimbo la Rombo kwa tiketi ya CCM

    Ndugu,sijamjadili isipokua nimejikuta natoa angalizo tu
  2. N

    Wakili Msomi Evod Mmanda aombwa kugombea Ubunge Jimbo la Rombo kwa tiketi ya CCM

    Ndani ya CCM kuna mchakato wa kidemokrasia.Sasa maswali haya unatakiwa kumuuliza huyo anayeunda makundi ya uchaguzi na kuwagawa wananchi kitarafa je chama chake kimempitisha ?Mhe. Selasini hajamaliza muda wake bado lakini huu usumbufu anaoletewa una umuhimu gani?
  3. N

    Wakili Msomi Evod Mmanda aombwa kugombea Ubunge Jimbo la Rombo kwa tiketi ya CCM

    Uadilifu ni jambo la msingi sana.Na huyo kamanda wa Idara ya Upelelezi Mkoa nadhani alifunga ndoa mwaka juzi.Watu wa Rombo ni wakatoliki wasiopenda kuongozwa na watu wasiokua na maadili maana suala la kusimamia uadilifu hasa halmashauri iliyojaa ubadhirifu kama Rombo inahitaji mtu asiye na doa
  4. N

    Wakili Msomi Evod Mmanda aombwa kugombea Ubunge Jimbo la Rombo kwa tiketi ya CCM

    Sasa kwani kuna wenye hatimiliki ya Rombo?
  5. N

    Wakili Msomi Evod Mmanda aombwa kugombea Ubunge Jimbo la Rombo kwa tiketi ya CCM

    Ndugu yangu, Hakuna haja ya kuitana majina mabaya kiasi hiki.Naomba tuvumiliane na tujenge hoja.Naomba radhi kwa usumbufu wowote kwani Rombo inahitaji mchango wa kila mmoja wetu
  6. N

    Wakili Msomi Evod Mmanda aombwa kugombea Ubunge Jimbo la Rombo kwa tiketi ya CCM

    Inahitaji taaluma za kisheria kutoa ufafanuzi na kuelimisha jamii juu ya katiba pendekezwa.Katiba hii pendekezwa ina mambo ambayo yana maslahi kwa nchi.Ni vyema tukaacha kufuata ushabiki badala yake tukaangalia namna na muda muafaka wa kuitisha kura ya maoni lakini sio maudhui ya katiba hii...
  7. N

    NYARAKA: Katiba Inayopendekezwa Oktoba, 2014 (Tanzania's Proposed Constitution)

    Vipengele vyote vimepitiwa na matakwa ya wananchi kwenye katiba hii yamezingatiwa.Na hata sheria mbovu zilizolalamikiwa zitapoteza nguvu
  8. N

    Wakili Msomi Evod Mmanda aombwa kugombea Ubunge Jimbo la Rombo kwa tiketi ya CCM

    Ni wapi alikogawa hivyo vitenge kwa ajili ya ubunge?Ben anavyotumia muungano wa Bodaboda kule Tarakea na sasa huko Mengwe na kuitwa kwenye mkutano wao akiambatana na wapambe na kuchangia anafanya hivyo kwa ajili ya ubunge?
  9. N

    Wakili Msomi Evod Mmanda aombwa kugombea Ubunge Jimbo la Rombo kwa tiketi ya CCM

    Ana haki ya kulitaka lakini sio kwa hizi vurugu anazofanya.Watu wa Rombo wanapenda siasa za upole na si jinsi anavyofanya na kutumia hadi waandishi wa habari kumchafua Mwingine
  10. N

    Wakili Msomi Evod Mmanda aombwa kugombea Ubunge Jimbo la Rombo kwa tiketi ya CCM

    sirluta, Uadilifu wake unatia shaka hasa uhusiano wake na Askari wa Kike kaimu Kamanda wa Upelelezi Mkoa Janneth Mongi na pia dada Mmoja Wa TRA boda ya Tarakea. Sia aoe kwanza ?
  11. N

    Wakili Msomi Evod Mmanda aombwa kugombea Ubunge Jimbo la Rombo kwa tiketi ya CCM

    Hakuna kanuni zilizokiukwa kwa sababu Sitta alifuata kanuni zile zile walizotengeneza akina Lissu na mmanda.Kama kuna mamkosa yatakua ni ya Sitta Mwenyewe na sio Evod ambaye alishirikiana kwa karibu sana na Lissu na Jussa usiku na mchana bila kujali tofauti za vyama vyao.Huu ndio uadilifu...
  12. N

    Wakili Msomi Evod Mmanda aombwa kugombea Ubunge Jimbo la Rombo kwa tiketi ya CCM

    Ndugu Tamatheo, Ni makosa makubwa kuchanganya ufisadi wa watu wengine na uadilifu wa mtu na taasisi.Rombo inahitaji mtu wa kuunganisha watu kuliko anayetaka kugawa watu kama anavyofanya Ben Saanane na watu wake na hao wazee wanaosema safari hii ni zamu ya Mashati.Uchapakazi na uadilifu wa mtu...
  13. N

    Wakili Msomi Evod Mmanda aombwa kugombea Ubunge Jimbo la Rombo kwa tiketi ya CCM

    Alipotengeneza kanuni ndani ya BMK alitengeneza akiwa na akina Lissu na Jussa
  14. N

    Wakili Msomi Evod Mmanda aombwa kugombea Ubunge Jimbo la Rombo kwa tiketi ya CCM

    Nduka nashukuru sana.Tumeshaona dalili za uchaguzi wa huku kutawaliwa na kila aina ya fujo.Juzi team yake walikaa Tarakea na kuanza kuunda kikundi cha fujo na hata watu wanaomchangia kwenye hizi kampeni ni watu waliopata fedha kwa njia ya biashara za magendo za mipakani.Kuna mambo mengi tu...
  15. N

    Wakili Msomi Evod Mmanda aombwa kugombea Ubunge Jimbo la Rombo kwa tiketi ya CCM

    Ndugu Malata, Nasikitika sana kwa jinsi unavyotumia lugha ya kejeli baadala ya kujenga hoja.Ndivyo wanavyofanya watu kama akina Ben Saanane huku Rombo na siasa zao za fujo fujo badala ya kushindanisha sera.Sijui anataka awe mgombea pekee ?
Back
Top Bottom