Recent content by Ngoti pilla

  1. Ngoti pilla

    Mchele safi na supa kutoka Mbeya

    Ukifika Temeke kwa azizi ali karibu na soko la kabuma
  2. Ngoti pilla

    Mchele safi na supa kutoka Mbeya

    Mkuu hiki ni kitu chenyewe yaan ni kitu haswa
  3. Ngoti pilla

    Mchele safi na supa kutoka Mbeya

    Sawa mkuu asantee tunafanyia kazi boss
  4. Ngoti pilla

    Mchele safi na supa kutoka Mbeya

    hata usiwe na wasiwasi naweza kukuletea ukapika wakati mimi nasubir na kilo zingine ili tu ujue kuwa nimekuletea kitu chenyewe
  5. Ngoti pilla

    Mchele safi na supa kutoka Mbeya

    hii ni yenyewe mkuu ni asili haswa hata mchele ukishika mkononi utaona tu tofauti ni hii ya kisasa iliyovimba kabla ya kupikwa
  6. Ngoti pilla

    Mchele safi na supa kutoka Mbeya

    Hapana mkuu sio huo naomba agiza hata kilo 5 nikuletee halafu ulete mrejesho hapa
  7. Ngoti pilla

    Mchele safi na supa kutoka Mbeya

    Hujakosea mkuu ni mchele unaoiva vizuri sana bila ww kukutaka huweke moto juu kama hii ya kisasa
  8. Ngoti pilla

    Mchele safi na supa kutoka Mbeya

    Yah huo wa juu ni mbegu moja sisi tunaita mwenda mbio ni mbegu nzuri sana na mchele wake hua haukatiki ambao tunafanya sh 2000 kwa kilo na mbegu ya chini sisi uwa tunaita zambie ni mbegu nzuri sana mchele wake si mnene kwa hii ya kisasa ni mchele mfupi ulionyooka vizuri sana ambao ni sh 1800
  9. Ngoti pilla

    Mchele safi na supa kutoka Mbeya

    Huu mchele ni maji kidogo tu mkuu ni mbegu zile za asili ni mzuriii sana hauna mawe wala machuya na ni msafi sana
  10. Ngoti pilla

    Mchele safi na supa kutoka Mbeya

    Yes boss nipigie namba 0715169679 nitakufikia mkuu ulipoo
  11. Ngoti pilla

    Mchele safi na supa kutoka Mbeya

    kwa wakazi wa Dar es Salaam jipatie mchele safi na Super kutoka mbeya. Mchele wetu ni zile mbegu za Asili na si hizi za kisasa yaan ni Mchele mzuri haswa na Maharage ya njano pia yanapatikana kwa bei Tsh 2600 kwa kilo Tunapatikana Ilala Bungoni, Temeke kwa azizi Ally... Bei zetu ni 2000 na...
  12. Ngoti pilla

    Pata mchele safi kutoka Mbeya

    sorry mkuu ni pata
  13. Ngoti pilla

    Pata mchele safi kutoka Mbeya

    Jipatie boss uko dar maeneo ya Temeke aziz ali
  14. Ngoti pilla

    Pata mchele safi kutoka Mbeya

    niko Kwa azizi ali mkuu dar es salaam
  15. Ngoti pilla

    Pata mchele safi kutoka Mbeya

    niko dar mkuu kama unataka maeneo ya dar pia unapata boss
Back
Top Bottom