Wapendwa wana JF, Yapata miezi 4 sasa binti anadai mimba aliyonayo ni yangu!Speed yake ni kubwa,lakini sijaishi nae na nimekutana nae mara mbili 2 tu, mwanzoni mwa mwezi wa 8, na kati ya mwez wa 8.
Kaenda clinik kaandika jina langu. Sina tatizo na mtoto atakayezaliwa kama kweli atakuwa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.