Recent content by ngosha degoo

  1. ngosha degoo

    GE2020 Baada ya Dkt. Kigwangalla kujibizana na Mo Dewji Twitter. Dkt. Bashiru amshukia Kigwangalla, amtaka am-tweet Dkt. Magufuli

    Umefanya vyema kuwakumbisha hao wagombea juu ya misingi yetu imara ya chama cha mapinduzi
  2. ngosha degoo

    CHADEMA inakosa cha kuwaonesha wananchi walichofanya majimboni miaka 5 iliyopita

    Cha kuwanyesha ni malalamiko tuu kua wanaonewa hakuna tume huru sasa sijui hao wabunge wao walishindaje
  3. ngosha degoo

    Ni kama alivyosema Juliana Shonza, Mbowe must be disposed

    Wanatia huruma kwa kweli
  4. ngosha degoo

    Ni kama alivyosema Juliana Shonza, Mbowe must be disposed

    Wanashida sana hawa wenzetu hawana hoja wanatafuta kura za huruma tuu
  5. ngosha degoo

    Ni kama alivyosema Juliana Shonza, Mbowe must be disposed

    Atapata kura za walevi wenzake
  6. ngosha degoo

    Ni kama alivyosema Juliana Shonza, Mbowe must be disposed

    Mimi nashangaa kua kama kila kitu kwao hakifai wanataka Urais watafanya kazi na kina nani???
  7. ngosha degoo

    Ni kama alivyosema Juliana Shonza, Mbowe must be disposed

    Chadema imekosa mvuto sana mbele ya wananchi wengi
  8. ngosha degoo

    Ni kama alivyosema Juliana Shonza, Mbowe must be disposed

    Mbowe ni mwenyekiti wa chadema lakini alikua akipokea maelekezo kwa Lema kua waondoe TBC na yeye akafuata sasa uenyekiti wa mbowe uko wapi?? Kumbe anafanya maamuzi ambayo sio yake?? Kweli chadema hawana viongozi wenye Highque kubwa
  9. ngosha degoo

    Ni kama alivyosema Juliana Shonza, Mbowe must be disposed

    Tukio la chadema kuwafukuza TBC kwenye mkutano wao wakiwa wanarusha matangazo yao live ni dhahiri kua walificha aibu ya kukosa wafuasi kwenye mikutano yao na kuwadanganya watanzania kua wanakubalika kumbe ukweli wanaujua wenyewe.
  10. ngosha degoo

    Ni kama alivyosema Juliana Shonza, Mbowe must be disposed

    Ndo tujiulize hapo sasa labda wakati huo akili zake zilikua zimeenda likizo
  11. ngosha degoo

    Ni kama alivyosema Juliana Shonza, Mbowe must be disposed

    Kimsingi bila Unafiki huyu Mzee Magufuli amefanya mengi sana ana stahili support na support ni kumpigia kura
  12. ngosha degoo

    Ni kama alivyosema Juliana Shonza, Mbowe must be disposed

    Chadema bado wamefeli kwenye kila eneo Bado hawana sera za kuwashawishi watanzania wawachague wanabaki wanapiga tuu kelele.
  13. ngosha degoo

    Ni kama alivyosema Juliana Shonza, Mbowe must be disposed

    Ni kweli chadema wamepoteza hamasa kwenye mikato yao.
Back
Top Bottom