Recent content by Ngorika Nangomwa

  1. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 TAKUKURU wameshindwa kuzuia rushwa kura za maoni mkoani Mtwara

    Inasikitisha saana kuona Mh Rais anapinga Rushwa ila Watendaji wake hawana habari ndani ya uchaguzi huu kura za Maoni mkoa wa Mtwara rushwa iko nje nje kila pahala PCCB wapo na vyombo vipo ila badala ya kukamata na kukemea jamaa wameamua kuacha wanachama na watia nia wafanye watakavyo. Hili lipo...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Matamko ya Polepole yanawahusu watia nia wasiokuwa na fedha na vyeo kuhusu kuanza kampeni mapema na rushwa

    Nimemsikiliza ndugu Polepole mara kadhaa kuhusu watia nia kuanza kampeni maapema pamoja na kutoa rushwa. Niseme hili ni zuri sana ila linawahusu hawa watia nia wasiokuwa na fedha. Kwa mfano juzi nilikuwa mkoa wa Ruvuma watia nia matajiri wanazunguka kuhonga bila woga Ruvuma na wale wenye vyeo...
Back
Top Bottom