Hii Tz sasa inaendelea kuwa nchi yenye kuleta hofu nyingi juu ya usalama wa raia. Maana kwa sasa kila raia ana taharuki kubwa na usalama wa maisha yake. Nchi imejaa rushwa, watu masikini, udini, ukabila na sasa linaongezeka ugaidi. Maana hata ukiripoti polisi hakuna reaction yoyote hasa kwa...