Yaani Una give up kizembe hivyo?Hama mtaa nenda mbali kabisa na hapo unapoishi na biashara zako hamisha kabisa,pili utakakohamia ishi maisha Yako wewe kama wewe,cheka na watu lakini usiwape nafasi ya kukujua kiundani kuhusu maisha Yako.
Tafuta pesa acha kuimba ngonjera mkuu,pesa kila mtu anaenda awe ke au me sema ndio hivyo Kuna muda tunapambana mambo yanagoma inabidi tukubaliana na Hali.
Lakini pia nje na kuchezewa kwa vidhibiti mwendo pia madereva hawapumziki anatoka Dar -mbeya Leo jioni ,mbeya anafika asubuhi Kesho ,Kesho hiyo hiyo au jioni anageuka na gari Huyu mtu hajapumzika wala nini safari ya masaa 16/17 na hapo wanatudanganya kwa kisingizio cha madereva tuko wawili ili...

Hao wamekuzoea,kuwa trict,wapigie simu kila Mmoja kwa wakati wake waambie waachie nyumba ndani ya siku tatu kwa sababu wameshindwa kuzingatia masharti,Hata kama Kuna anayetaka kulipia mwambie kabisa Kodi sihitaji nachotaka ni nyumba yangu kapange sehemu nyingine itakayokufaa ,waambie kabisa...
Lakini pia pamoja na hiyo changamoto wafanya biashara walio wengi wakiwemo Wa daladala hawana utaratibu Wa angalau kutunza chenji Kiasi kwa ajili ya kuanzia asubuhi siku inayofuata,akipata Leo anahakikisha chote kinatumika au kama ni akiba anabakiza nyumbani na sio kutembea na chenji za...

Poleni Sana kwa kero hiyo kiongozi,inatia Sana hasira umeghalimia maji halafu tangu uwekewe hiyo meter ulitumia unit Moja Tu ya maji.Wahusika tafakari na chukua hatua
Sikatai ila kuna muda najiuliza inakuwaje mtu umepewa karama bure halafu unauza kwa mafungu?Una karama ya uponyaji unashindwa Nini mara Moja Moja kwenda muhimbili,ocean road kuombea roho ya uponyaji kwa wagonjwa waliokataa tamaa na tupate shuhuda Kutoka kwao?Tunaangamia kwa kukosa maarifa.
Mmefungulia maji kwenye mafungu au ,nimetoka Tegeta A kwa madawa maji yanatoka,ukienda kwa bedui,kwenda njia ya kwa chades,mnalani na mabonde yake hakuna Hata tone la maji,
Mi naona hapo inategemea na aina ya familia pamoja na watu ,Kuna ndugu au watu ambao Hata uwabebe na mbeleko hawabebeki ,utawapa mitaji kila mara ,utatengeneza vitega uchumi na kuwaweka wavisikamie watatakatisha vyote kwenye bangi na pombe,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.