additionally, mukandalism inapingana hata na katiba ya nchi ambayo inatoa na kuheshimu uhuru wa mtu kuongea na kueleza fikira zake. kina mukandala wamezoea kupingana na katiba ya nchi yetu hata pale inapokuja issue ya migomo. kugoma nayo ni haki ya kikatiba, sijui watu hawa wanazuia kwa msingi gani.
sijui ni vigezo gani hutumiwa pale mlimani katika kuwapata maprofessors. maana tuonapo watu kama kina mukandala wenye titles za uprofessor halafu wanasahau ethics za academic works and places pamoja na dhana nzima ya university huwa si tu wanajiabisha wao, baya zaidi ni kuwa wanavipa vyuo vyetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.