Nimeoa na nina mtoto mbona nimeeleza kuwa mke wangu hayupo sababu ya uzazi ... Na mimi nimebanwa mno siwezi kuacha nyumba chafu.
Kaka mimi kama ningekuwa nashida ya wanawake sikuwa na haja ya kuja humu. Kuna bar na vilabu huko.
Lakini mnanifanya nicheke sana humu , nilitaka nilitoe tangazo...
Umeshindwa kuelewa na umesoma kwa jazba relax kwanza ...
Kama umesoma post yangu nimekuwa specific na vitu gani nahitaji msaada , au umeona kuna mahali nimesema nije kuogeshwa na kuoshwa miguu?
Barack Obama hilo ni suala personal haimaanishi anafanya kazi zote za ndani kwake au yeye hana...
Picha imewekwa option si kwa nia ya uaminifu. Kwangu mimi ni vyema kumjua mtu kwa picha kabla sijaonana naye , sababu sitakuwa na interview yoyote. Kama akishindwa kutuma basi sio kazi ya kubembelezwa wenye nia watatuma.
Nawashukuru sana pia ambao wamenicheki nadhani nitalifunga tu tangazo...
Suala sio kushindwa kufanya ngoja nikupe somo .... Ukijua umuhimu wa muda , utajua jinsi ya kuutumia. Muda wa kufanya hizi kazi ninaweza nikafanya kazi zangu na kuingiza fedha zaidi hilo kwangu ni muhimu zaidi ... kama si hivyo ungemkuta MO, na Bakhresa wapo busy na usafi wa nyumba zao kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.