Recent content by NG'HOMBA YA BOCHE

  1. N

    Tanzania na usiri wa mishahara ya viongozi wakuu wa nchi

    Kumekuwepo na kugugumizi cha kushindwa kuweka wazi mishahara ya viongozi wakuu wa nchi yetu hata baada ya nchi kuingia mkataba wa UHURU NA UWAZI na nchi ya marekani...Bado Tanzania imeendelea kuficha ficha ukweli huu, hili likiendelea kuwekewa mkazo na waziri wa nchi ofisi ya raisi-menejimenti...
  2. N

    Taifa la Tanzania chini ya utawala wa CCM na maendeleo Hafifu katika sector ya afya

    teh, teh, teh, mkuu unachekesha kweli!!! nimekuuliza kwa hizo data zako unazoshadidia kwa kusifiwa kwako mbona watu bado wanataabika kama sio kufa kabisa kwa huduma mbovu??? halafu acha kutaja taja majina ya watu ambao hata kwenye hii topic hawana uhusiano wowote...siyo kila kitu ni ushabiki tu...
  3. N

    Taifa la Tanzania chini ya utawala wa CCM na maendeleo Hafifu katika sector ya afya

    Wewe ndugu acha kufikiri kwa kuwaza tu,mbo lako na wale unaowafahamu tu!!!, unaongelea mafanikio ya kusifiwa na wenzako wenye maslahi binafsi juu yako huku wazee vijijini wakifa kwa kukosa huduma bora uko serious kweli???? Ebu ifikie kipindi tuache ushabiki usio na tija kwa taifa letu...
  4. N

    Taifa la Tanzania chini ya utawala wa CCM na maendeleo Hafifu katika sector ya afya

    Hapo ndo unavyoona kuwa we are making jokes katika maisha ya raia wetu..Haiwezekani nchi ambayo mmeisaidia kwa asilimia zote kufika amani na utulivu inakuja kuwaacha kwa asilimia kubwa kiasi hichi..ukiwauliza watawala wetu chini ya CCM watakwambia, ooh kile ni kinchi kidogo,,, uwezekano wa...
  5. N

    Taifa la Tanzania chini ya utawala wa CCM na maendeleo Hafifu katika sector ya afya

    Je ni kweli Ndugu #Froida yatupasa kuomba majaliwa tu ili tuweze kupata tunachokitaka katika taifa letu?, mimi na wewe tuna wajibu gani katika kufanya mabadiliko tuyatakayo??
  6. N

    Taifa la Tanzania chini ya utawala wa CCM na maendeleo Hafifu katika sector ya afya

    Hapana mkuu mi naomba tusifikie huko kwenye kuzichapa japo mambo yanaweza kuwa magumu kama tawala zetu zitaendelea kuwa hv..kama tutafika huko, mi nina imani atakayeteseka ni bibi na babu yangu aliyepo huko kijijini na watoto wadogo ndo watakaopata taabu..kikubwa kuna mtu alishawahi kusema kitu...
  7. N

    Taifa la Tanzania chini ya utawala wa CCM na maendeleo Hafifu katika sector ya afya

    Ni kwa muda sasa mzee Mandela ameweza kutoka hospitali alikokuwa akitibiwa kutokana na maradhi yaliyokuwa yakimsumbua.Kwa muda wote huo aliokuwa akitibiwa, mzee Mandela aliendelea kusalia hospitalini mjini Pretoria nchini Mwake Afrika ya kusini. Hatukusikia mzee Mandela akipelekwa...
  8. N

    UVCCM waliapa Kumpinga JK,Kurugenzi ya mawasiliano mipasho,Rais anatoa mipasho na Kusutana

    Faiza Fox, maoni ni kwamba Raisi amedanganywa na washauri wake kwa sababu aliamua kuwasikiliza watua ambao hata mwanzo hawakuonesha dalili za kukubali hoja za wapinzani....kwa mantiki kama ile uilitegemea wamwambie nn zaidi ya kumwaminisha kuwa Tundu lisu ni muongo na mpika majungu?!
  9. N

    Mkoa wa shinyanga na maendeleo hafifu ya wananchi wake

    Je inatosha tu kusema kuwa serikali ni ya kibaguzi ilihali hali kama hiyo imekuwepo miaka na miaka?.....pamoja na serikali zetu kutokuwa na dira, kuna nn kingine ambacho kimejificha kinachosababisha mikoa kama hii ampapo pamoja kupewa bajeti kubwa ya kimaendeleo lakini bado ni maskini??
  10. N

    Mkoa wa shinyanga na maendeleo hafifu ya wananchi wake

    mkuu unachokisema ni kweli, lakini tukumbuke hata mkoa wa Dar-es-salaam , bado wananchi wake wanawasikiliza akina Nape kwa wingi tu na haijaachwa nyuma kimaendeleo. Na mkoa kama shinyanga ni moja kati ya mikoa inayoongoza sasa katika suala la upinzani kuliko hata mkoa mwingine wowote Tanzania...
  11. N

    Wabunge wa CCM Wakibadili Mawazo Bungeni Nitarudisha Kadi yangu ya CCM Siku Hiyo Hiyo!!

    sasa ukirudisha kadi kwa sababu ya wabunge hao wa ccm kuamua kukana uongo na kubali ukweli utahamia chama gani sasa ambako wanaendekeza unafiki na uongo kama wa ccm???
  12. N

    Mkoa wa shinyanga na maendeleo hafifu ya wananchi wake

    Mkoa wa Shinyanga ni moja kati ya mikoa inayochangia kwa kiasi kikubwa katika pato la mwaka la taifa..Mkoa huu ni moja kati ya mikoa bora kumi hapa Tanzania kwa kuchangia kwa kiasi kikubwa katika pato la Taifa ukishika nafasi ya nne(4) nyuma ya Dar, Mwanza na Mbeya... Pamoja na mkuo...
  13. N

    Makosa ya wazi ya CHADEMA!

    Janga ni mwigulu na kinana
  14. N

    Picha: JK amsimika Al Qasimi kuwa Balozi wa heshima California USA

    mbona hana mwenyeji wa ndani ya nchi yenyewe?....ama wa kupewa ushirikiano wa mwenyeji ni wagini wanaotembelea Tanzania tu.
  15. N

    Makosa ya wazi ya CHADEMA!

    Mzee Tupatupa umenena kweli na ninakuunga mkono kabisa..mm natokea shinyanga..ni moja ya mikoa ambayo chadema imejiimarisha sana hasa hasa maeneo ya mjini lakini bado chadema wakitaka kuja wanakuja shinyanga mjini tu eneo ambalo kwa sasa hata liwekwe gogo kwa upande wa chadema kitashinda...
Back
Top Bottom