Mimi ni msichana miaka 30. Naishi Tabata Segerea.
Nilikuwa cashier wa kampuni kwa miaka 3 likatokea tatizo nikaomba ruhusa kurudi kawekwa mtu mwingine.
Naombeni kazi ya duka kkoo sijajuwa utaratibu wa kupata kwenye yale maduka au kama kuna mtu anakazi naomba ntaifanya kwamoyo wangu wote.
Nipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.