Wakati Mh Rais mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete anaondoka madarakani, alituambia imefika wakati wakujenga chama Cha siasa imara kwa matakwa ya mda tulio nao tuache kutegemema jeshi la Polisi kutufanyia siasa .
Ajabu ni kwamba jambo lile lilichukuliwa km maneno tuu, ila ukweli Mchungu sana kwa...
Ninashauri ni wakati wa serikali kufikiria namna nzuri kufanya teuzi mbalimbali katika nafasi za serikali kwa kuzingatia uzoefu wa Kazi serikalini, uadilifu ili kutengeneza uzalendo.
Kwa mfano haileti taswira nzuri kumuacha katibu wa tarafa au maafisa wameoshika nyadhifa mbalimbali ktk Idara...
Kwa maoni yangu mh.mbunge mwenyewe haijui Biharamulo vizuri, wilaya ya Biharamulo ilikuwa na mbuga za Burigi game reserve pamoja na Biharamulo game reserve , jina Burigi ni jina la asili tangu tunapata uhuru mbuga hizo zilitambulika kwa majina hayo , jina CHATO ndio limekuwa geni na jipya katika...
Kwa maoni yangu hata mkoa ukiwa nyakanazi bado haitakuwa na tija yoyote , kwa sababu mkoa huo ulianzishwa kwa hila nyingi huku zikifanyika hila za kudidimiza wilaya za jirani kimaemdelleo kuipandisha moja ( chato ) na hizohizo ndio mnataka ziungane hiyo si sawa.
lakini mkumbuke CHATO Ilikuwa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.