Mimi ni mkazi wa Mvomero, na ninapinga utaratibu wa kodi ya jengo inayokatwa kupitia TANESCO. Nyumba yangu yenye vyumba vitatu inakatwa Sh 7,500, kiasi ambacho ni sawa na kinachotozwa kwa nyumba ya ghorofa.
Nimejaribu kupata ufafanuzi kuhusu tofauti hii, lakini Meneja wa TANESCO ametuambia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.