Recent content by Ngadu07

  1. Ngadu07

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Simu bado kijana ila kuna madogo wapo 834 tangu ijumaa iliyopita naskia wapo angani tu wanalobulobu na mesi . Cjajua ni wa bogi au kuna mambo mengine wamefata maana naskia wapo kiraia tu mda wote. According. Me sipo 834 ni taalifa kama mnavyanzo vya kufatilia jaribuni kuuliza wanafanya nini coz...
  2. Ngadu07

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Sio kukatisha tamaa huo ndio ukweli mdgo wangu kama ukitaka tufarijiane sawa. Now njia pekee ya kupata nafasi ni (Mungu) hakuna kinachoshindikana kwake, bahati, Kama unamganga wako Sumbawanga kaloge sana lkn ivyo vyote ni asilimia 1% mganga pekee wa uhakika ni mbanga tena nzito sana
  3. Ngadu07

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    RTS shoga hatoboi. Hata kama upite kimaajabu wakati wa kozi lazima uteme bungo. Kozi ikichanganya lazima mambo yawe wazi.. kuna dogo alikuaga na mshono mbanga yake ilikua nzito mbona walimpeleka lugalo wakati wa-kozi
  4. Ngadu07

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Mbanga saahizi hata ukiwa na billioni 10 hupati mbanga labda. Banga yako iwe samia
  5. Ngadu07

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Kama una connection kunywa maji mtaitwa 834KJ na baadhi wengine wakuzugia. Mkienda kule wale wa kuzugia wanaliwa kichwa wanaludi home nyie wenye Mibuyu mnaenda kufungua kozi. Note hata kama umepata bahati ya kuitwa dodoma sidhini kama itakua rahisi kwenda msata. Maana vimemo na figisu nyingi...
  6. Ngadu07

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Me sijataja jina kaka 😀
  7. Ngadu07

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Yes bogi moja tu. Hii inatumikaga kama propaganda ya kuwapoza madogo wanaokatwa kila mwaka.
  8. Ngadu07

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Your right yule mshikaji anainfluence kubwa sana kuna kipindi alitaka atolewe pale apewe seheme ya hadhi naskia akaomba kuludishwa pale. Cheo chake na sehemu aliyopo haisanifu. Ila yeye anakaa pale anajua kuna manufaa anapata. Now kajenga kabisa maeo ya kule anaishi na familia yake maeneo ya...
  9. Ngadu07

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Kila k2 process mzee ukishakua kwenye chombo mambo hayawi magumu sana kama ukiwa nje now nasubiri chance ya kwenda kumalizia degree maana nilikatishaga mwaka wa 3
  10. Ngadu07

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Sipo TMA.
  11. Ngadu07

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Nilikuaga mujibu 2021 op samia nikakosa bogi la bms. Baada ya hapo mabogi ya katikati mengi nimekula ya mbavu nikaja kuangushia intake ya 44
  12. Ngadu07

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Saivi itakua vigumu sana kama unataka bogi ili .na kwasasahivi ugumu mwingine me nipo kwenye chombo alafu bora hata ningekua afisa, bado private kumfata kumuomba nafasi itakua ishu kwasababu sio ndgu yangu ni mzee anayeheshimiana na mzee wangu labda kama hii ishu ikipita ukiwa tayari kwaajiri ya...
  13. Ngadu07

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Wanazingatia kwenye usaili yes. Ukizidi umri husika kulingana na elimu wanakukata ila mbanga yako ikiwa nzito hawazingatii hiko muhimu
  14. Ngadu07

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    😀😀😀 dogo sijasema. Usije kunigombanisha na mzee wangu.
  15. Ngadu07

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Yes sometimes mipango ya Mungu kuna muda mbanga anakua na nafasi chache watu wengi kwahio lazima awape kipaumbele watu wa muhimu. Vyote sawa. Maana mbanga wa maana kabisa anakua na nafasi 3 akichekecha hadi 5 mara nyingi 3 hawa wengine hadi waombe kupenyeza. Maana kuna mbanga za aina 2 kuna yule...
Back
Top Bottom