Recent content by Ng`wanakidiku

  1. Ng`wanakidiku

    Tanzia: Dr. Sengondo Mvungi afariki Dunia

    duh r.i.p Dr wa ukweli, ila sema hii hari ingelikuwa imethibitiwa tangu kwa akina ulimboka haya matukio yangekoma, lakini leo sirikali inaleta ngojela tu. Sasa nadhani kuna umuhimu wa kuwa na ulinzi binafsi!
  2. Ng`wanakidiku

    Tamko kuhusu Shutuma juu ya Kitila Mkumbo (Mjumbe Kamati Kuu ya CHADEMA)

    Anadharau laki mbili kwani siyo hela? Mbona hiyo akinunulia vocha ni hela nyingi tu.
  3. Ng`wanakidiku

    TAMKO rasmi la Ndugu Zitto Z. Kabwe kuhusiana na kinachoitwa "Taarifa ya Siri ya CHADEMA"

    Tuhuma zote ni za kweli. Zitto ni msaliti. Angekuwa na busara alipoitiwa kipindi kile na akina ighodu angewaeleza viongozi wenzanke wa cdm. Na hizi habari ni za siku nyingi sana, maana kuna kipindi akanunua (alitudanganya eti mkopo) vogue, mara hammer, halafu eti akajifanya eti aliyakataa. Huyu...
  4. Ng`wanakidiku

    TAMKO rasmi la Ndugu Zitto Z. Kabwe kuhusiana na kinachoitwa "Taarifa ya Siri ya CHADEMA"

    Hakuna cha jela. Hizi habari ni za kweli, Zito rushwa akchukua na juhudi zake kwisha kwa sababu sasa kila kitu kiko wazi. Na JF ni wajinga, mi naona afadhali sasa na fb maana habari watu wameziona na kusoma juu ya usaliti wa huyu kijana. Huyo maa akashitaki tu, ila zito ni mnafiki!
  5. Ng`wanakidiku

    Naonekana sina faida ndani ya CHADEMA, nimeng'oka rasmi kuanzia leo

    Ondoka, chadema haihitaji wanafiki na wala rushwa na wanaonunulika kiurahisi. Hatuhitaji 2015 kuindoa ccm na kubakiza wala rushwa kama zitto na wewe.
  6. Ng`wanakidiku

    Kama Zitto ukifukuzwa CHADEMA anzisha chama chako na ntakuwa mtu wa pili kujiunga!

    Dogo mnafiki, itabidi aende akahiji ili atubu zambi za usaliti ndani ya chama na kwa zamana aliyopewa na taifa.
  7. Ng`wanakidiku

    USHAHIDI wa NYARAKA zinazomuhusu Zitto Zuber Kabwe

    Wala siyo ujinga. Ilikuwa ni vigumu watu kama wasira kujitokeza hadharani na kusema CDM itakufa ndani ya miaka miwili kama wasingekuwa na mtu wao ndani (Zitto).
  8. Ng`wanakidiku

    USHAHIDI wa NYARAKA zinazomuhusu Zitto Zuber Kabwe

    Ushahidi mara ngapi mwana! Mbona dogo kaumbuka.
  9. Ng`wanakidiku

    USHAHIDI wa NYARAKA zinazomuhusu Zitto Zuber Kabwe

    Ni muhimu kuijadili kwani kumbuka NCCR ilianguka vipi. Watu ndumila kuwili kama Zitto waliangamiza NCCR. Sasa hatutaki itokee tena ktk Tanzania yetu. Zitto naamini alizidiwa kete labda alitishiwa kuuawa, lakini kwa nini asijitokeze akatubu? Rushwa kala, na kutaka kuiyumbisha chadema alishafanya...
  10. Ng`wanakidiku

    Juliana shonza ulishindwa mbeya utaiweza Arusha

    Juliana, sikujui wala hunijui, ila ningependa kukushauri. Rudi CDM utubu watakupokea, CCM haina political future, zaidi watakutumia kwa safu uliyonayo sasa, na ikija safu nyingine watakutupa kama takataka. CDM ni chama chenye changamoto, ni chama kinachotarajiwa kuchukua dola, unanafasi nzuri...
  11. Ng`wanakidiku

    Utofauti wa Makambi ya vijana wa CCM na kinachoanzishwa na CHADEMA

    Ninyi ndiyo wajinga. Hamtokaa kuuaminisha uma wa watanzania kuwa CDM ni chama cha kigaidi. CCM+Mwigulu n.k. ni wauaji wakubwa na mnastahili kufungwa au kunyongwa kabisa. Mmeua watu wangapi? Wewe ni miongoni mwa wachache wanalipwa labda na kudunguliwa ili uje uitetee CCM, utakoma, just wait 2015...
  12. Ng`wanakidiku

    Watu hao wanatafutwa jeshi la polisi kokote walipo

    Wanaonekana wanatokea Mboka a.k.a Tabora
  13. Ng`wanakidiku

    CPJ Yamuandikia Barua Rais Obama Kuhusu Serikali ya JK kuminya Vyombo vya Habari: Isome Hapa

    Watu kama akina kamuhanda walipaswa wawe jela sasa.
  14. Ng`wanakidiku

    BBC: Jumuia ya Afrika Mashariki mashakani, Marais wa Kenya, Uganda na Rwanda waunda umoja wao!

    Inawezekana kweli. Mauaji ya CCM polisi usikute anayeyasimamia ni mgomea mtarajiwa wa CCM (kama Membe n.k.) anakuwa na mikakati ya kuhakikisha anawamaliza nguvu CDM. Kumbukeni JK alisema wagombea mjipange sasa wajipangeje??
  15. Ng`wanakidiku

    Bungeni: Mauaji yanayofanywa na polisi, ni mauaji ya kisheria

    Ameyanogea hayo akiwa na neno CCM ndani ya mdomo wake. Kwani siku CDM wanaaga miili ya marehemu Arusha walikuwa wamefanya fujo? Walivyomuua Mwangosi alikuwa anawatishia uhai? Tena kwa Mwangosi Polisi kibao walimzunguka na kumuua kwa makusudi. Na Polisi CCM walipolipua bomu na kushambuliaa raia...
Back
Top Bottom