Recent content by ng`wana ong`wa doi

  1. N

    JamiiForums Tanzania Dr Lwaitama: CCM wakimsimamisha Dr. Salim A. Salim watashinda Urais

    Ni kweli kwa mambo yalivyoharibika ufisadi kila kona naona kama itakuwa ngumu,nchi ilipofika hapa naona anahitajika rais mkali sana naona kama mpole vile.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Dr Lwaitama: CCM wakimsimamisha Dr. Salim A. Salim watashinda Urais

    kumteua tayari ni kumsafisha ccm tumeichoka ila inahitaji kazi nzito ikiwa pamoja na kuwafikia watu wa vijijini.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Dr Lwaitama: CCM wakimsimamisha Dr. Salim A. Salim watashinda Urais

    Ni kweli gamba ni gamba ila ugumu yanatofautiana kuna gamba la kenge,gamba la mti nk.kwamba El ataweka wapi sura yake je kikwete aliposhindwa na mkapa,pamoja na El waliweka wapi sura zao? mbona ndo hao tunawasikia kila leo.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Dr Lwaitama: CCM wakimsimamisha Dr. Salim A. Salim watashinda Urais

    ni kweli swala la zanzibar naona na kaumri miaka 71 nafikiri atafaa kweli?
  5. N

    JamiiForums Tanzania Dr Lwaitama: CCM wakimsimamisha Dr. Salim A. Salim watashinda Urais

    Mimi nafikiri Membe,lowasa,sitta wakiona wote mahasimu wamekosa wanaweza kumuunga mkono kuliko mmoja wao akipitishwa vita itakuwa kubwa zaidi.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Dr Lwaitama: CCM wakimsimamisha Dr. Salim A. Salim watashinda Urais

    umenena kweli kwa wale tunaoiombea ccm ipotee kama walivyopotea nzige,ni vema chadema wakageuze namna ya mashambulizi badala ya kuelekeza kwenye ufisadi ,bora wajielekeze kuelezea sera zao,kushambulia ccm badala ya madhaifu ya wagombea mfano kama salim madhaifu yake wengi hatuyajui.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Dr Lwaitama: CCM wakimsimamisha Dr. Salim A. Salim watashinda Urais

    Ni kweli wapiga kura wengi ni wa umri uliousema lakini mbona kuna wabunge wazee sana kama kina Abas Mtenvu, kapuya,sitta,Nkono,nk.wanaendelea kuchaguliwa kwa kura nyingi tena na vijana?.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Dr Lwaitama: CCM wakimsimamisha Dr. Salim A. Salim watashinda Urais

    kwamba watawezaje kumsafisha tayari kateuliwa kwenye kamati kuu hii ndo kumsafisha,kwamba hudhani kama atakubali? kakubali kuwa mjumbe wa kamati kuu tu je urais mzee si zaidi sana.
Back
Top Bottom