Recent content by Neysholi

  1. N

    JamiiForums Tanzania Kazi access bank

    ni cv tu inayotakiwa huna haja ya kuweka barua hujasoma tangazo vizuri?
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kazi za Sales and Marketing/Public relation Ndo Mpango Mzima

    Tunashukuru kwa kutudharau mwakitobile hongera ww unayekaa ofisini na kupigwa kiyoyozi mda wote kila mtu anapata pale Mungu alipompangia na ndio maana department ya markering ilikuwepo na it is heart of any company na bila kuwepo hii hizo hela unazotegemea kuhesabu unafikiri zingetoka wapi
  3. N

    JamiiForums Tanzania Advans bank

    Ni kwa post zote wameita au ni post gani hiyo walioitwa
  4. N

    JamiiForums Tanzania Advans bank

    ila ungeuliza vizuri hapo uliposikia wakuthibitishie
  5. N

    JamiiForums Tanzania Advans bank

    anayejua kuhusu hili atufahamishe basi kama kweli wameshaita au wameanza kuita
  6. N

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa 'bank officer' NMB ni kiasi gani?

    kazi kwelikweli
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kama Huna Kazi na Umekata Tamaa Soma Hapa

    mambo hayo
  8. N

    JamiiForums Tanzania Kuhusu erolink

    huo ndio ukweli nimeongea hata hivyo nashukuru sana kwa taarifa kijiwe kinachosha ndio unafikiri masikhara kukaa home
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kuhusu erolink

    Habarini humu, kuna rafiki yangu alifanya interview na erolink ya nbc customer care alianza na written na akamalizia na oral alifanya mwezi wa kumi na mbili mwanzoni zen wakamwambia watampigia simu ni mwezi na zaidi umeipata kimya hadi leo je ndio basi imetoka hiyo au? anaulizia kama watu...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Msaada customer care NBC

    ni laki tano chanzo kutoka kwa mmoja wa wafanyakazi wa nbc
  11. N

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua mshahara phtss 4 mpaka 7

    habari wana jf samahani mwenyewe kujua kiwango cha mshahara wa ngazi hii ya PHTSS 4 mpaka 7 ni kiasi gani naomba kujulishwa mwenye kuelewa hicho kiwango
Back
Top Bottom