Recent content by Neyka matata

  1. Neyka matata

    Agricultural lime - Chokaa mazao

    Ukihitaji ya kwenye mpunga, tunakuagizia kiwandani dodoma cement moja kwa moja ila kwa hapa tunayo ya mazao mengine ndo maana nimekwambia ukihitaji inapatikana pia.
  2. Neyka matata

    Agricultural lime - Chokaa mazao

    Sawa,na karibu ukianza kujaribu
  3. Neyka matata

    Agricultural lime - Chokaa mazao

    Unaanza kidogo kidogo mwisho wa siku unatoboa
  4. Neyka matata

    Agricultural lime - Chokaa mazao

    Ipo ya kwenye mpunga pia kama unahitaji inapatikana
  5. Neyka matata

    Agricultural lime - Chokaa mazao

    Ni kweli hii inasaidia kuboresha udongo na kuongeza uzalishaji sio MBOLEA
  6. Neyka matata

    Agricultural lime - Chokaa mazao

    Hauna haja ya kutumia pumba za mpunga tena Hii kwenye mashamba unatumia mifuko 10 kwa hekali 1 ila ni lazma utumie mbolea za chumvichumvi kama.kawaida na matokeo yake ni ndani ya msimu huohuo Namba ya biashara ni 0677766250 kwa maelekezo zaidi
  7. Neyka matata

    Agricultural lime - Chokaa mazao

    Hii inaitwa chokaa mazao inatumika kurutubisha udongo na kuongeza uzalishaji. -mashamba mengi yameathiriwa na tindikali(acidic) inapelekea kutumia gharama nyingi kuhudumia shamba lakin mavuno machache. -inatumika unavoandaa shamba au unavolima shamba lako kwaajili ya kupanda -ukitumia chokaa...
  8. Neyka matata

    Agricultural lime - Chokaa mazao

    Bei ni 10,500 mfuko wa kg50 Namba ya biashara 0677766250
  9. Neyka matata

    Agricultural lime - Chokaa mazao

    Bei ni 10,500 mfuko wa Kg50 Namba ya biashara 0677766250
  10. Neyka matata

    Agricultural lime - Chokaa mazao

    Ulishaipata chokaa mazao?kama bado unaweza ipata tunauza tupo mafinga
  11. Neyka matata

    Agricultural lime - Chokaa mazao

    Bado unahiitaji tunauza tunapatikana mafinga na bei yake ni nafuu kwa kila mkulima
  12. Neyka matata

    Agricultural lime - Chokaa mazao

    Inaboresha udongo na inaongezq uzalishaji wa mazao.shambani na inatumika kwenye mazao na matunda kama unahiitaji bado nambie tupo mafinga
Back
Top Bottom