Recent content by Ney-baby

  1. Ney-baby

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri wenu tafadhari. Nimfuate huyu mwanaume kumuuliza kwa nini alinidanganya au nifanye?

    Asante dada angu.
  2. Ney-baby

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri wenu tafadhari. Nimfuate huyu mwanaume kumuuliza kwa nini alinidanganya au nifanye?

    Hapana kwa kweli.....
  3. Ney-baby

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri wenu tafadhari. Nimfuate huyu mwanaume kumuuliza kwa nini alinidanganya au nifanye?

    Mungu Akubariki sana..
  4. Ney-baby

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri wenu tafadhari. Nimfuate huyu mwanaume kumuuliza kwa nini alinidanganya au nifanye?

    Sawa mkuu.. nimekulewa asante.
  5. Ney-baby

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri wenu tafadhari. Nimfuate huyu mwanaume kumuuliza kwa nini alinidanganya au nifanye?

    :D:Agakakskagesh::Agakakskagesh::Agakakskagesh::Agakakskagesh:
  6. Ney-baby

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri wenu tafadhari. Nimfuate huyu mwanaume kumuuliza kwa nini alinidanganya au nifanye?

    Asante Mkuu...
  7. Ney-baby

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri wenu tafadhari. Nimfuate huyu mwanaume kumuuliza kwa nini alinidanganya au nifanye?

    Asante sana....
  8. Ney-baby

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri wenu tafadhari. Nimfuate huyu mwanaume kumuuliza kwa nini alinidanganya au nifanye?

    Bado sana...
  9. Ney-baby

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri wenu tafadhari. Nimfuate huyu mwanaume kumuuliza kwa nini alinidanganya au nifanye?

    Kwa Ruhusa na Tukio maalumu nitatoka. Siku iyo nilitoka sababu tulikuwa hatuko sawa.
  10. Ney-baby

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri wenu tafadhari. Nimfuate huyu mwanaume kumuuliza kwa nini alinidanganya au nifanye?

    Asante mkuu
  11. Ney-baby

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri wenu tafadhari. Nimfuate huyu mwanaume kumuuliza kwa nini alinidanganya au nifanye?

    Kutoka na marafiki ni kwaida... sio jambo la kushangaza. kuna maisha nje ya mapenzi.
  12. Ney-baby

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri wenu tafadhari. Nimfuate huyu mwanaume kumuuliza kwa nini alinidanganya au nifanye?

    Nina miaka 33
  13. Ney-baby

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri wenu tafadhari. Nimfuate huyu mwanaume kumuuliza kwa nini alinidanganya au nifanye?

    Tunaendele........ Basi siku zikapita akanitafuta tukaongea nikamuuliza siku ile pale alikuwa nafanya nini akaniambia eti kuna mgahawa alitoka kula chakula ndio alikuwa anamlipa yule mwanamke. Ni kweli pale pembeni yake kuna mgahawa. Nikaseama sawa pia akaja na sera sasa za kutaka kunioa. Yani...
  14. Ney-baby

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri wenu tafadhari. Nimfuate huyu mwanaume kumuuliza kwa nini alinidanganya au nifanye?

    Habari zenu wakuu. Moja kwa moja kwenye hoja. Nilikutana na huyu mwamba kama mwaka mmoja uliopita. Akanimwagia sera zake nikazikubali. Mimi naishi kwetu nyumbani pamoja na mama. Huyu mwamba ni mtu mzima kama miaka 48. Sasa toka tulivyokutana akaniambai yeye alifiwa na mkewe kama miaka 8...
Back
Top Bottom