KAMPUNI ya mawasiliano hapa nchini, Yas imeonesha dhamira yake ya dhati katika kuboresha ustawi wa jamii kwa kutoa msaada wa vifaa tiba muhimu katika Hospitali ya Wilaya ya Chalinze, mkoani Pwani.
Mpango huo, uliongozwa na Mkurugenzi wa Kanda ya Pwani Kusini, Fadhila Saidi ambaye alimkabidhi...
KAMPUNI ya huduma za kifedha kwa njia ya simu, Mixx, imeendelea na mpango wake wa kusogeza karibu huduma za kifedha za kidigitali kwa kuzindua kampeni ya Kila Hatua Mixx jijini Dodoma.
Hatua hiyo inalenga kuhakikisha wakazi wa Kanda ya Kati wanapata nafasi sawa ya kushiriki katika uchumi wa...
MASHINDANO ya Selous Marathon yaliyofanyika Agosti 23, 2025 kwa mara ya saba mkoani Morogoro, yameendelea kuvutia maelfu ya washiriki na mashabiki.
Miongoni mwa washiriki ni Yas na Mixx ambao walionesha taswira mpya ya ushiriki wa kitaifa kwenye michezo kama nyenzo ya kukuza utalii na afya ya...
Dodoma, 20 Agosti 2025. Wiki moja baada ya uzinduzi wa kitaifa jijini Dar es Salaam, kampuni ya huduma za kifedha kwa njia ya simu, Mixx, imeendelea na mpango wake wa kusogeza karibu huduma za kifedha za kidigitali kwa kuzindua kampeni ya Kila Hatua Mixx jijini Dodoma. Hatua hii inalenga...
Dodoma, Agosti 2025 – Kampuni ya mawasiliano ya Yas imeendelea kuonesha dhamira yake ya kuleta mabadiliko ya kidigitali kwa wakulima kwa kuendeleza mpango wa Device Financing, unaowawezesha wakulima kumiliki simu janja kwa gharama nafuu kupitia malipo ya awamu. Kupitia mpango huu, mkulima...
Mkurugenzi wa Yas Kanda ya Kati, Bw. Said Idd (katikati) akielezea kuhusu huduma za Yas na Mixx kwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule (kulia) katika maonyesho ya NaneNane yanayoendelea jijini Dodoma. Ziara ya Mkuu wa Mkoa ilifanyika jana jijini humo. Kushoto ni Meneja wa Mixx by Yas...
WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa ametembelea Banda la Yas kwenye Maonesho ya Kitaifa ya Wakulima maarufu (Nane Nane) yanayoendelea jijini Dodoma.
Maonesho hayo ya Kitaifa ya Wakulima maarufu (Nane Nane) yanaendelea jijini Dodoma ni uthibitisho kuwa Yas na...
Afisa Mtendaji Mkuu wa Yas, Pierre Canton Bacara (katikati), akisalimiana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo (kulia), wakati wa hafla ya uzinduzi rasmi wa Kituo cha Biashara na Usafirishaji Afrika Mashariki (EACLC), iliyofanyika hivi karibuni jijini Dar...
DAR ES SALAAM: Yas Tanzania has stepped up as one of the key sponsors of Ndondo Cup 2025, signaling a new era where sports and technology intersect to drive positive social change.
This groundbreaking partnership aims to empower youth by blending the excitement of football with cutting-edge...
KAMPUNI ya Mawasiliano hapa nchini, Yas
imetangaza rasmi kudhamini Mashindano ya Ndondo Cup kwa mwaka huu wa 2025.
Yas na Mixx, inajivunia kuwa sehemu ya mashindano hayo ya kihistoria yanayoshirikisha timu za vijana kutoka maeneo mbalimbali hapa nchini.
Akizungumza mara baada kutangaza rasmi...
Mkurugenzi wa Yas - Kanda ya Kaskazini Ndugu Henry Kinabo akizungumza wakati wa uzinduzi
KAMPUNI ya mawasiliano ya Yas imezindua rasmi kampeni yake ya ‘Anzia Ulipo’ jijini Arusha, ikilenga kuwahamasisha wakazi wa Kanda ya Kaskazini, kwa ajili ya kugusa maisha ya Watanzania na kuchochea ukuaji...
Mkurugenzi wa Yas Kanda ya Kati, Said Idd (katikati), Meneja wa Yas Kanda ya Kati Frank Anthony (kushoto), na Meneja wa Mixx by Yas Kanda ya Kati Charles Gasper (kulia) wakifurahia jambo wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni ya kitaifa ya “Anzia Ulipo” iliyozinduliwa jijini Dodoma Julai 16 mwaka...
What you need to know:
The feature allows businesses to receive and initiate voice calls globally, using WhatsApp’s native interface so customers never leave the app.
Global cloud communications platform Infobip today announced the launch of WhatsApp Business Calling, a new feature that...
KAMPUNI ya mawasiliano ya Yas, imezindua rasmi huduma ya bure ya macho kwa wananchi wote wanaotembelea banda lake katika Maonesho ya 49 ya Kimataifa ya Biashara (Sabasaba), yanayoendelea kufanyika katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam.
Huduma hiyo, inatolewa kwa kushirikiana na KSI...
KAMPUNI ya mawasiliano ya Yas, imezindua rasmi jukwaa la Anzia Ulipo Biashara Expo, katika Maonesho ya 49 ya Kimataifa ya Biashara maarufu kama Sabasaba.
Lengo ni, kuwa jukwaa mahsusi kwa ajili ya kuwawezesha wajasiriamali chipukizi kuonyesha biashara zao na kupata ujuzi wa kukuza shughuli zao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.