Recent content by Newmember_

  1. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimechoshwa na tabia za mume wangu na dada yake nisaidieni nifanye nini?

    Jamani Ahsanteni sana kwa maoni na ushauri wenu, nitafanyia kazi baadhi ya vitu mlivyoniambia nashukuruni sana Mungu awabariki
  2. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimechoshwa na tabia za mume wangu na dada yake nisaidieni nifanye nini?

    Aisee so true thank you so much for this umenifungua kitu
  3. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimechoshwa na tabia za mume wangu na dada yake nisaidieni nifanye nini?

    Mimi siyo mwembamba ni mnene na ki umbo ninalo kubwa kuliko huyu wifi yangu , ila tabia tu ndo huwa zinaniumiza
  4. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimechoshwa na tabia za mume wangu na dada yake nisaidieni nifanye nini?

    Amen 🙏🏾
  5. N

    Maybe nipo inferior
  6. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimechoshwa na tabia za mume wangu na dada yake nisaidieni nifanye nini?

    Hakuna uongo ni kweli Hadi nimekuja hapa imenitesa na kuniumiza Zaid ya mwaka hii Hali na Sina wa kumwambia
  7. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimechoshwa na tabia za mume wangu na dada yake nisaidieni nifanye nini?

    Ndyo alimwambia hvo na mume wangu akijua waliyo yaongea lkn hakuna shida alisema tu anamhurumia dada yake
  8. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimechoshwa na tabia za mume wangu na dada yake nisaidieni nifanye nini?

    Ni kweli nakosa uhuru nakuwa hata nikiwaza kuwa busy sana naogopa huyu atamchukua kabisa mume wangu, pia hata kusafiri mbali naogopa pia kuwaacha hapa wenyewe Yani najiskia vibaya
  9. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimechoshwa na tabia za mume wangu na dada yake nisaidieni nifanye nini?

    Kuna siku niliondoka kusalimia kwetu siku kama nne nilivorudi nilikuta wifi kafua nguo zote za mume wangu Hadi boxer zake kazianika kwenye kamba nilivomuuliza mwanaume akasema nilitaka afue nani kati dada yake yupo
  10. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimechoshwa na tabia za mume wangu na dada yake nisaidieni nifanye nini?

    Sa na inaumiza sana na inakatisha tamaa
  11. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimechoshwa na tabia za mume wangu na dada yake nisaidieni nifanye nini?

    Ni dada yake Hadi picha zao wakiwa watoto wadogo kabisa zipo
  12. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimechoshwa na tabia za mume wangu na dada yake nisaidieni nifanye nini?

    Baba wa mtoto wake hatoi huduma yoyote amekuwa kama kawatelekeza, na baba wa huyu wifi yangu pia alishamtelekezaga tangu anazaliwa ndomaana mama yake alienda kuolewa na mtu mwingine ambaye ni baba mzazi wa mume wangu
  13. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimechoshwa na tabia za mume wangu na dada yake nisaidieni nifanye nini?

    Sawa shukran
  14. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimechoshwa na tabia za mume wangu na dada yake nisaidieni nifanye nini?

    Yeye ni mchaga lakini dada yake ni mrangi maana baba zao ni tofauti
  15. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimechoshwa na tabia za mume wangu na dada yake nisaidieni nifanye nini?

    Ahsanteni
Back
Top Bottom