Recent content by NewlyMD

  1. N

    JamiiForums Naomba kuuliza eti awa jamaa wa MCT baraza la madaktari tanzania uwa wanatoa post za internship mwezi gani?

    Ahsante sana,kama wanamaliza by the end of this month naona watatupa sisi tangazo mda si mrefu. Na ivi tutakuwa na option ya kuchagua mji tunaoataka au it depends on MCT?
  2. N

    JamiiForums Naomba kuuliza eti awa jamaa wa MCT baraza la madaktari tanzania uwa wanatoa post za internship mwezi gani?

    Wow nice..here in dar-es-salaam? I didn’t do my studies here in tanzania,so that’s why i am asking here.
  3. N

    JamiiForums Naomba kuuliza eti awa jamaa wa MCT baraza la madaktari tanzania uwa wanatoa post za internship mwezi gani?

    Hahahaha nimekosea kidogo tu hapo mkuu Kuhusu wagonjwa usiwe na wasi patients notes uwa sikoseagi..
  4. N

    JamiiForums Naomba kuuliza eti awa jamaa wa MCT baraza la madaktari tanzania uwa wanatoa post za internship mwezi gani?

    Habari wa kubwa Naomba kuuliza eti awa jamaa wa MCT baraza la madaktari tanzania uwa wanatoa post za internship mwezi gani? Nimemaliza shule toka mwezi wa 7 bado awajatoa post Na swali lingine daktari anayefanya internship uwa analipa shilling ngapi Nashukuru sana wakuu Plz jibu kama...
Back
Top Bottom