Habari wakuu. Jinsia yangu ni mwanaume najitokeza kutafuta rafiki wa kike ili baadae tufunge ndoa.Elimu yangu ni kidato cha nne,na Umri wa miaka 27,Dini mkristo,Kazi nimejiajiri .Nimtafutae elimu kuanzia la Saba na kuendelea, Mweupe,awe na Miaka 20-26, mchaMungu,mnyenyekevu,asiwe na...