Tabia zako ni ushoga mtupu, Ikiwa jf wenyewe wanasisitiza Id fake, Kufuatilia Id kwanini sio dalili za ushoga, kwa taarifa yako mimi sijawahi kukutana uso kwa uso na Kafulila hata namba yake pia sina.
Kafulila anapendwa sana Tanzania mjinga wewe
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC), David Kafulila, amewataka wafanyabiashara na wawekezaji wa Mkoa wa Pwani kutumia fursa za ubia na Serikali kuwekeza katika miradi mbalimbali ya miundombinu ya huduma za umma, badala ya kuiachia Serikali pekee...
Sasa mtu ndani ya muda mchache ana Viwers zaidi ya 1,000 halafu eti anajijibu mwenyewe, Mimi binafsi namkubali sana Kafulila kila post inayomuhusu huwa lazima niisome.
Kafulila anapendwa sana Tanzania hata huku mtaani achilia mbali hapa Jf.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.