Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Mstaafu, Ludovick Utouh, amesema mfumo wa Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) umekuwa ukipingwa kimyakimya na baadhi ya watendaji wa Serikali kutokana na kuziba mianya ya ubadhirifu wa fedha za umma.
Utouh ametoa kauli hiyo...
Profesa ataka sekta binafsi iokoe mamlaka za maji nchini
Kongamano la Kitaifa kuhusu Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) katika Sekta ya Maji lililofanyika Mei 9, 2026 jijini Dar es Salaam limeibua mjadala kuhusu changamoto za ufanisi, ucheleweshaji wa huduma na mianya ya rushwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.