Recent content by Network Reset

  1. Network Reset

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Mtandaoni ya LBL inayojihusisha na matangazo ya biashara siyo Utapeli?

    Mi nina rafiki alini convince kujiunga LBL, nikataka kumzungusha akasema ataweka hela yake yeye ili niweze kuamini. Nimemkubalia kwa kuwa hela 'ikienda' ni yake sio yangu, anasema mwezi wa kwanza nimrudishie hela yake miezi inayofuata hela itakua yangu. Sasa nipo wiki ya pili naendelea na haka...
Back
Top Bottom