Recent content by nesserian

  1. N

    HOJA NIDA na UHAMIAJI Arusha kama ni mwanamke ukienda ukiwa umevaa suruali getini unaambiwa uvae kanga ama mtandio kama huna unatoa 2000 ya kukodi

    kama ni mwanamke ukienda hizo ofisi za NIDA , UHAMIAJI pale getini unaambiwa uvae kanga ama mtandio kama huna unatoa 2000 ya kukodi mtandio ujuifunge kisha wakuruhusu uingie ndani.
Back
Top Bottom