Serikali ya China imetangaza kuongeza bajeti yake ya kijeshi katika mwaka huu wa 2018.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, bajeti ya kijeshi ya China katika mwaka huu wa 2018 itaongezea kwa asilimia 8.10. Bajeti ya kijeshi ya nchi hiyo imetangazwa kuwa dola bilioni 175. Duru za kijeshi nchini China...
Rais Vladimir Putin wa Russia amewapongeza na kuwashukuru wanajeshi wa nchi yake walioko nchini Syria.
Kwa mujibu wa televisheni ya Roosiya al Youm, akizungumza katika sherehe ya siku ya 'Wanaounga Mkono Nchi' kwa mara nyingine amewashukuru wanajeshi wote wa Russia wanaohudumu nchini Syria...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.