Jaman habari zenu humu ndani nami nina tatizo hilo hilo naumwa na kitovu na ninapopitisha chakula chochote katika mwili wangu natapika na maumivu yanazidi chuchu zinauma sana wakati wa usiku na kuharisha nina harisha maji je ni ugonjwa gani huo nina umri wa miaka 20..,,,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.