Recent content by Nelson muna

  1. Nelson muna

    Msaada: Rough idle, engine and exhaust vibration.

    Asante kwa ushauri, Lakini ignition coil walizicheki hazina shida.
  2. Nelson muna

    Msaada: Rough idle, engine and exhaust vibration.

    Habari wadau , Nina gari yenye engine ya 1zz ina tatizo la engine kutetemeka na rough idle sana sana ikiwa silence au slow speed, pia exhaust ina tetemeka mpaka inagusana na body. Nilienda kwa fundi akafanya; 1. Kusafisha fuel filter. 2. kubadili spurk plug 3. kusafisha nozzle. 4. kubadilsha...
  3. Nelson muna

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Kaka kwenye suala la Service ya Gear Box una point maana imefika muda wake wa kubadilisha Transmission fluid. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Nelson muna

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Habari Wadau! Nina gari Aina ya premio engine 1zz Ina tatizo la kukosa nguvu mlimani na kuchelewa kuchanganya hata kuovertake Ni shida, ukikanyaga mafuta inatoa mlio kama wa kuchomea kwa gesi. Mara nyingi huwa inapaki hata mwezi bila kutembea , nimebadilisha spark plugs imebadilika kidogo lakn...
Back
Top Bottom