Yahhh mi niko milambo boyz,ila Mazigazi unavyosema hama kombi unamaanisha nn mana itakuwa ni kitu cha kushangaza kidogo kwanza shule gan unahama comb ssiv,na kumbuka term ya kwanza ndo ishaisha sa sijakwelewa unamaanisha nn
Dahh naombeni msaada ndugu zanguni,
Actually mimi ni mwanafunzi wa form 5 PCM (Milambo Men High School)
In short ni kwamba kila nikigusa kitu hakiendi mpaka nahisi kuchanganyikiwa maana kumbuka physics sio mziki mdogo na never hakunaga mkali wake. Pure maths. ndo hiyo inavuruga kabisa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.