Recent content by neemachandruok

  1. N

    SoC04 Tumlinde mtoto wa kiume wa kesho

    Amini nakwambia future ya KIJANA inaanza kwa mzazi, aliweza kutengeneza home huku dlkwingine atatoboa tu. MALEZI mazuri yanaanza nyumbani tukazane na wazazi kwanza kabla hatujataka jamii kutusaidia.
  2. N

    SoC04 Tumlinde mtoto wa kiume wa kesho

    Mimi nichangie kwa kusema tuanze na wazazi kwanza wanamwambia Nini mtoto wao wa kiume? Pia baba yake kama Yuko akiwa responsible mtoto wa kiume atajifunza kuwa responsible na atatoboa maishani kwake Suala la mtoto wa kiume tuanze kwa familia , wazazi Wana mchango mkubwa sana Mtoto wa kiume...
  3. N

    SoC04 Elimu ya chuo wabadilishe system ya kufundisha

    Mimi naamini katika kujifunza mtu akiwa na Nia atasoma vitu vya ziada kwa sababu ana Nia na anaweza kufanya vizuri kupita yule mwenye msingi. Kuwa na utayari tu ni msingi wenyewe. Ninamjua mtu alisema HGM hakuwahi soma hesabu ngumu chuo akaja kusoma economics na alikuwa anakuwa wa kwanza...
  4. N

    SoC04 Elimu ya chuo wabadilishe system ya kufundisha

    Hapa nilimaanisja MWALIMU wa nadharia afundishwe nadharia yake lakini atafute mtu ambaye Yuko kwa field aje aelezee Nini kinafanyika sokoni ili kuweza kuoanisha nadharia na VITENDO ili wanafunzi waweze kujua hii elimu wanayoisoma inafanyeje kazi mtaani. Lakini kujifunza nadharia bila VITENDO...
  5. N

    SoC04 Vita dhidi ya uraibu wa kamari na vilevi vikali, kuinusuru Tanzania tuitakayo

    nadhani malezi yana mchago mkubwa sana katika kujihusisha na vilevi na kamali. nadhani wazazi tunapaswa kujikita kwenye malezi kwa kuwa mfano lakini kujenga mazingira ya mtoto kujua vilevi sio sahii na kumfundisha kijana vitu gani vinaweza kumfanya awe bora na kumsaidia mtoto awe na uchaguzi...
  6. N

    SoC04 Elimu ya chuo wabadilishe system ya kufundisha

    Ninaguswa sana na jinsi ya elimu yetu Tanzania, vitu tunavyofundishwa darasani sio vitu unavyokutana navyo kazini. Kuna umuhimu wa kuboresha ufundishaji wa elimu ya chuo kikuu. Ninaamini elimu tunayopewa chuo inatupa maarifa lakini tukiangalia baadhi ya vitu nadhani kuna haja ya kubadilisha...
  7. N

    SoC04 Malezi bora yanayosaidia kuwalinda watoto wadogo wasibakwe wala kulaitiwa au kufanyiwa vitendo vibaya

    Ninaguswa sana ninaposikia stori za watoto kubakwa au kulaitiwa na ndugu au mwalimu au jirani. Tafiti zinaonyesha watoto wengi wanaofanyiwa vitu vibaya ni wale ambao hawana sauti yaani walinyanganywa haki zao za kuongea kwa sababu inawezekana mzazi alikuwa mkali sana au anamchapa au halikuwa...
Back
Top Bottom