Recent content by Neema Mosha

  1. N

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya kilimo cha kisasa cha greenhouse

    Sure kesho naelekea huko nitapiga nikutumie.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya kilimo cha kisasa cha greenhouse

    Nimewahi kulima ila open field,hizo green house zishafungwa , zilifungwa na kampuni kutoka Kenya 2 years ago ni za kutumia tu sio kuanza kufunga tena.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya kilimo cha kisasa cha greenhouse

    Niko Mwanza hali ya hewa naona ni yakawaida sio joto sana sio baridi,kuhusu ukubwa na vipimo vya hizi green house sijui kwa kweli labda niende na mtaalam anidadavulie zilivyo na size zake.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya kilimo cha kisasa cha greenhouse

    Asante Sana,nimeshamtafuta.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya kilimo cha kisasa cha greenhouse

    Sawa kabisa hakuna shida,ngoja tusubiri majibu ya wadau na wataalam.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya kilimo cha kisasa cha greenhouse

    Bado najifunza Kilimo,ninazo green house kubwa 7 ambazo nimepewa niinvest baada ya kuonyesha interest kwenye Kilimo.Zote zina system ya drip irrigation, Maji ya kutosha na full equiped.Zipo Mwanza. Je nilime nini, na Kama mwanafunzi na mgeni katika mambo ya kilimo hakitanigharimu Sana.Na...
Back
Top Bottom