JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania
Natafuta wa kunioa
Habari zenu,
Mimi naishi Dar es Salaam, kama nilivyoandika hapo juu natafuta mwanaume wa kunioa.
Nina miaka 21, elimu yangu ni certificate, sijaajiriwa bado. Atakaye kuwa interested tunaweza kuwasiliana zaidi PM.