Kwa Taarifa Kama Hizi kunatufanya Wengine tujione Weupe Wa Kutokuijua Nchi yetu Ndani Na Nje na Pia wale tunaowaamini Kuwa ni wema Kwetu Kujikuta kuwa ndio Mdomo wa Simba unaosubiri kuturarua, Mwenyezi Mungu Tusaidie
KUNA HAJA YA KUELIMISHA.
Mkuu Siyo Kweli kuwa Tofali zipo for filling Gaps=x, Namansha Siku Ukisikiwa na Wenye Taaluma zao Kifungo kinakuhusu.
Iko Hivi Kwenye Ujenzi wa Majengo Kuna Kitu kinaitwa Design. Hapo ndio kutokana na Calculations za Structural Engineer Baada ya Kuona kuwa kulingana...
Siyo Kujua Mambo Mawili Matatu ni KUBOBEA,
Mkuu Nilichokijibu Hapo Kinaeleweka Hata kwa Mtu Yeyote asiyejua Issue yoyote Kuhusu Taaluma Hii, Kama Una Point ya Msingi kwa Nini Tanzania tusiige Designing Wanayotumia waturuki Kwenye Ujenzi Weka Hapa Maana Naamini itasaidia kwa Vile Hakuna Mtu...
Usijali Mkuu kuna Haja ya Mengine Ambayo unaona Sasa Hata Kama ni Uboss it's too Much Angeuliza Tumtoe TONGOTONGO, Maana yawezekana Hata wale aliowachapa viboko Kama Watoto Kipindi Kile aliwazimisha Kufanya vitu ambavyo ni Kinyume na Taaluma wakagoma Kutetea Hadhi ya Taaluma yao
Mkuu ni Kwa Sababu siyo Kama Hatupendi, Lakini Wewe pamoja na Kutembea Ukashindwa kuuliza Why wanatumia Lightweight block?
OK Ngoja nikutoe Tongotongo, Sababu kubwa ya Kwa Nini Most of European countries wanatumia Lightweight materials in construction ni:-
1. Earthquakes Challenges, Sababu...
Huyu nae Ana Akili za Kuaminishwa bila Hata ku reason, Una Uhakika ama Unadharirisha Taaluma ya Engineering, Wewe Nae utakuwa una Matatizo ya Ubongo siyo Bure
Wewe nae Ndo wale Wale hujui Chochote Ulaze Tofali usimamishe Tofali idadi ya Tafali Itabaki kuwa ile ile ama Haya Kuongezeka.
Gharama Itabaki kuwa ile ile ama Hata Kuongezeka,
Sababu ya Tofali kubaki idadi ile ile ni eneo la Ukuta, Namanisha Kwenda Juu idadi ya Tofali itapungua Kozi ila...
CORRECTION FOR "PM" Statement.
1.Kwanza nitangulize Shukurani kwa Members wa JF Wote.
2. Niseme Siyo Kweli kinadharia ama Kivitendo Kuwa Kitu (Tofali) Kikisimama Huchukua Nafasi Kidogo Kuliko kikilala.
3. Kwa nini Engineering design inatumia Kulaza Tofali Badala ya Kusimamishwa...
Kama nilivyotegemea Lazima Huyo Kiongozi awe KKKT Maana ni Usharika Mmoja na CHADEMA, Jamani Dunia imefika Mwisho yaani Hata Mtu Ambae Anategemea kwa Ajili ya Kuwalisha Watu Neno La Mungu Kaingia Kwenye Siasa Kwa Maslahi ya Wafuasi wake, Shame on You Pastor better Choose what is the Best for...
JF ni Makao Makuu yenu ya Ugaidi Naona, Tutawadukua Aliyeitengeneza Hii App He is An Ordinary Man, and We Are Even Extra Ordinary to Him in Technology.
Mbona Kachelewa Sana Alikuwa Anashare Ofisi Na GENGE LA WAFUASI WA GENGE LA WAHUNI, Isitoshe Mkuu wa Wilaya ni Mtendaji wa Serikali Huku Mbunge tena Pinzani Kama CheDema ya UngaLimited ambaye ni Mwanasisa Anaekosoa Hata Uhuru na Amani ya Nchi yake Huku akitamani tuwe Kama Somalia ama Syria, Mkuu...
CHADEMA NI GENGE LA WAHUNI, ila Kitu Chochote kikianzishwa Hupata Wafuasi kiwe Kizuri ama Kibaya ambao ndani yao Wamo Wenye utimamu Lakini Bado wanapaswa Kuongozwa na Katiba/Sheria/Kanuni za Kikundi Hicho, Ndivyo ilivyo Chadema na Wafuasi wake. MIMI NA Akili Zangu timamu ziwezi Mchukulia Mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.