Recent content by Ndyali

  1. Ndyali

    LGE2024 Nchimbi: Tunasumbuliwa na maombi nchi jirani kujifunza Samia amefanyaje kueleta maendeleo nchini, kazi yake nzuri inajiuza

    Hawo wanaomsifia huyo Chura Kiziwi waje tutawapa bure kabisa, ili na wao wakonje kadhia ya watu kutekwa, kupotezwa, na kuuwawa.
  2. Ndyali

    Code zinaanza kufunguka

    Ujerumani ndio ilikuwa inagharamia huduma za Wamama wajawazito kujifungua watoto hapa Tanzania. Lakini Jiwe kwa ulevi wa Madaraka alisababisha Wajerumani kujitoa. Leo mwananchi maskini ndiye analazimika kulipia gharama kubwa za kujifungua mtoto kwenye hospitali za Serikali ambayo haijali...
  3. Ndyali

    Code zinaanza kufunguka

    Na wewe kwa kuendekeza UCHAWA unaweza kutuhakikishia vipi kuwa hupumuliwi kisogoni?
  4. Ndyali

    Code zinaanza kufunguka

    Nadhani ni afadhali ya Jehanamu! Ikifikia nchi inazalisha MACHAWA badala ya WASOMI! Tanzania na North Korea letu moja.
  5. Ndyali

    Code zinaanza kufunguka

    Mchina mwenyewe anawaogopa Mabeberu! Sasa huyo MAZA yenu anapata wapa carriage ya kufikiri Mchina atamsaidia, kama hajazidiwa na Ulevi wa Madaraka?
  6. Ndyali

    Balozi wa USA Kusema Wametoa Misaada ya Trilioni 15 Kwa miaka Ishirini Sio Kigezo Cha Kutupangia Cha Kufanya.Serikali Ikatae Ukoloni Mamboleo.

    Kiburi cha Siasa za Kiimla (Ujamaa)! Kama hizi zimeiponza Zimbabwe! Wazimbabwe walihamasishwa kuufurahia Upumbavu kama huu kutoka kutoka kwa Mugabe. Lakini leo Wazimbabwe ni wakimbizi wa Uchumi kutoka nchi yao wenyewe. USA ni wazee wa Vikwazo, jifunzeni kutoka Zimbabwe. Tukiruhusu USA...
  7. Ndyali

    Lema: Nimeisikiliza hotuba ya Rais mara tano, Nitarudi na majibu baada ya tamko la Chama

    MACHAWA badala ya Elimu, mmejazwa Ujuaji? UCHAWA ni hasara kubwa sana kwa Taifa letu.
  8. Ndyali

    Mabere Nyaucho Marando yupo wapi?

    Ni kweli kwamba ni mtu wa Kyela, lakini alihamia Mbozi kijumla ndo maana hata alipofariki dunia alizikwa Mbozi.
  9. Ndyali

    PreGE2025 Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia

    Usihofu huko hakuna kazi ngumu zaidi ya kula kwa urefu wa kamba yako! Mama anatuonya tu kwamba tusile na kuvimbiwa.
  10. Ndyali

    PreGE2025 Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia

    Who knows, usishangae Lukas Mwashambwa au FaizFoxy anauramba umakomo Mwenyekiti wa CCM, maana siku hizi UCHAWA unalipa sana.
  11. Ndyali

    Munde Tambwe: Kwanini Tanzania Bei ya Sukari ni kubwa kuliko Zambia, Malawi na Rwanda? Kuna Tatizo mahali tuambiane ukweli!

    Watanganyika ndo tunaongoza kwa kutozwa kodi kubwa kuliko nchi zote hapa duniani.
  12. Ndyali

    Mdomo wa Lissu haujawahi kuwa na adabu wala hekima

    Kusema ukweli Mdude Nyakati ana akili kuliko wewe kwa sababu yeye ana Akili ya kujitegemea. Wewe Lucas huna akili kabisa kwani akili yako ni tegemezi kwa Makonda na mama tu.
  13. Ndyali

    Mdomo wa Lissu haujawahi kuwa na adabu wala hekima

    Kwamba kwa akili yako mbovu baada ya Lisu kusema ukweli kuhusu ubaguzi uliowekwa kikatiba kwa raia wa nchi moja. Badala wewe kupigania ubaguzi uliowekwa kikatiba kuondolewa! Wewe unaung'ang'ania kwa kusaka Teuzi?
  14. Ndyali

    Mdomo wa Lissu haujawahi kuwa na adabu wala hekima

    Zaidi ya uwezo wewe kuwa Chawa wa Makonda na Mama je Wewe Lucas, una uwezo wa akili ya kujibu hoja za Tundu Lissu?
Back
Top Bottom