Mimi kuna muda huwa najiuliza swali moja tu, hivi kuna uwezekano gani kasia kuvunja mlango wa ndege, katika utengenezaji wa ndege wapo makini zaidi katika usalama wa vijaa vyake, leo iwe rahisi tu mtu avunje mlango tena sio kwa kitu kizito bali wa kasia. Hapa ndio napopata mashaka, emergency...
Muda mwingine tuwe wa kweli na siyo kuangalia upande mmoja, hawa wajiri wetu kuna muda hawaandai usaili ambao unaendana kile kijana alichofundishwa akiwa darasa, japo wanatambua mfumo wa elimu yetu.
Mfano, kuna kijana alikwenda kufanya usaili kwenye moja ya hotel na akiwa kama receptionist...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.