Recent content by Ndumugabho

  1. N

    JamiiForums Tanzania Responded HOJA TANESCO Kigoma inapaswa ichunguzwe hasa kitengo cha Surveyor

    Ukimaliza hiyo nakupa nyingine ya mwezi wa 8 na mwezi wa 4
  2. N

    JamiiForums Tanzania Responded HOJA TANESCO Kigoma inapaswa ichunguzwe hasa kitengo cha Surveyor

    Angalia hii ya mwezi wa saba, iko surveyed lakini hakuna control namba 0108261689. Hii ni ya toka mwezi wa saba
  3. N

    JamiiForums Tanzania Responded HOJA TANESCO Kigoma inapaswa ichunguzwe hasa kitengo cha Surveyor

    Walio omba ni wengi. Sasa waomba namba yangu halafu wengine itakuaje
  4. N

    JamiiForums Tanzania Responded HOJA TANESCO Kigoma inapaswa ichunguzwe hasa kitengo cha Surveyor

    Nafikiri yawezekana wametengeneza ka dirisha ka pesa
  5. N

    JamiiForums Tanzania Responded HOJA TANESCO Kigoma inapaswa ichunguzwe hasa kitengo cha Surveyor

    Toka mwezi wa tano watu wanaomba umeme lakini hakuna surveyor kuja kuangalia wiring na kutoa control namba. Ukijaribu kuuliza hupewi ushirikiano kabisa. Sasa mtu unajiuliza hawa jamaa wana shida gani ila hupati majibu. MREJESHO WA TANESCO 👇🏻...
Back
Top Bottom