Mimi ni kijana wa miaka 20 nilianza kujichua miaka 8 iliyo pita sikujua kwamba kuna mazara kwaiyo niliendelea na mchezo ule siku hangaika na wasichana paka sasa ndiyo naona mazara yake nguvu zimepotea nikiwa katika tendo la ndoa sekunde 30 tu nimeshafika kileleni paka naona aibu ebu nisaidieni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.