Recent content by Ndugudu

  1. N

    Huyu mtoto amepoteza uhai akielekea kanisani kwa kugongwa na pikipiki; kwanini Mungu hakumlinda?

    Kwakuwa mimea sio mnyama basi haiwezi kuwa na roho. Mkuu smotor, Nisibishane sana na wewe, nisije nikafanana nawe. (kulingana na maandiko ya biblia ambayo wewe huiamini). Mithali 26:4-5 Maana amelizungumzia katika zaburi 14:1 na Zaburi 53:1 Basi nikamwomba Bwana anisamehe na kunukuu maneno...
  2. N

    Huyu mtoto amepoteza uhai akielekea kanisani kwa kugongwa na pikipiki; kwanini Mungu hakumlinda?

    Tukiachana na mengine hayo ya jinsi science inavyogundua (tusiende mbali) Nambie sasa mkuu, ubongo unaongozwa na nini kuendesha hiyo mifumo? Haijatokea mkuu. Na hatatokea watengeneze mtu awe nafsi hai kama tulivyo. Kushindwa kwa science ni proof tosha kuwa kuna kitu kingine chenye uwezo wa...
  3. N

    Huyu mtoto amepoteza uhai akielekea kanisani kwa kugongwa na pikipiki; kwanini Mungu hakumlinda?

    So science inagunduaje mkuu? Siyo kwa sababu roho haipo, ni kwa sababu haiioni. Na utambuzi wa uwepo wa roho huja kwa imani. Kama huna imani huwezi kuamini wala kukubali kwa sababu utataka uthibitishe kwa kuona au kugusa. Okay mkuu. Nakupa sasa hii definiton ya roho; Ni nguvu inayocontrol uhai...
  4. N

    Mpaka leo hakuna theist aliyeweza kuthibitisha Mungu yupo, cha ajabu bado wanatuhubiria Mungu wao

    Kwa sasa mwajifanya wajuaji na kiburi cha usomi na kujifanya hamtambui muumba wenu, lakini siku yaja, wakati mbingu na dunia yote zikikunjwa kama kurasa ndipo mtakaposema mkimbilie milimani kujificha Bwana wa majeshi asiwaone. Wakati hofu kuu itakapowakumba wanadamu wa aina yenu. Heri kuamini...
  5. N

    Huyu mtoto amepoteza uhai akielekea kanisani kwa kugongwa na pikipiki; kwanini Mungu hakumlinda?

    Sio hivyo mkuu. Wewe unawategemea wanasayansi. Wanasayansi hawawezi kuelezea mambo ya roho kwa sababu hawana uwezo huo maana ni mpaka wagundue kwa kuona. Na sayansi si kila kitu. Nilikuuliza, ni nini kinalazimisha kuvuta pumzi? Ukajibu kifupi, "Respiration". Nikatoa mfano wa kwa nini mtu anaweza...
  6. N

    Huyu mtoto amepoteza uhai akielekea kanisani kwa kugongwa na pikipiki; kwanini Mungu hakumlinda?

    Huo ni mfumo tu wa kupitishia pumzi ambao upo hadi kwny mimea. Tena unaundwa na organs mbalimbali kiasi kwamba hata ikikosekana organi mojawapo mfumo waweza kushindwa kazi. Bali uwepo wa roho ndani ya mwili ndo hasa hulazimisha pumzi ivutwe na hata isipovutwa ila roho ikawemo ndani basi...
  7. N

    Huyu mtoto amepoteza uhai akielekea kanisani kwa kugongwa na pikipiki; kwanini Mungu hakumlinda?

    Sawa mkuu. Tutaelewana tu. Nini kinafanya ulazima wa kuvuta na kutoa hewa (pumzi)? Tukisema mtu ni afya, haimaanishi moja kwa moja kwamba mtu ndo afya na kwamba afya ni mtu. Yatahitajika maelezo au ufafanuzi. Vivyohivyo tukisema kilimo ni uhai, elimu ni kazi nk. So roho kuiweka moja kwa moja...
  8. N

    Huyu mtoto amepoteza uhai akielekea kanisani kwa kugongwa na pikipiki; kwanini Mungu hakumlinda?

    Zingatia hili mkuu. Pumzi(hewa) Ya (kimilikishi) Uhai (mmiliki) Maana yake, uhai ndio unamiliki hewa(Pumzi)iliyoivuta. Bila huo uhai, hewa (pumzi) pekee haiwezi kuingia/kutoka mwilini, ni mpaka ivutwe na uhai. Huo uhai ndio roho. Bila roho, pumzi inabaki pumzi au hewa tu isiyo na maana yoyote...
  9. N

    Huyu mtoto amepoteza uhai akielekea kanisani kwa kugongwa na pikipiki; kwanini Mungu hakumlinda?

    Pumzi ni hewa inayoingia na kutoka ndani ya mapafu ya kiumbe na kukifanya kiwe hai. Ndiyo maana ikaitwa pumzi ya uhai, yaani hewa yenye uhai (iliyoshikilia uhai wa mtu/kiumbe)
  10. N

    Huyu mtoto amepoteza uhai akielekea kanisani kwa kugongwa na pikipiki; kwanini Mungu hakumlinda?

    Zingatia haya mkuu, Roho ni pumzi ya uhai, inaendesha uhai wa mtu. Je Roho ni pumzi ya uhai, inaendesha u hai wa mtu. Na nguvu ya hii roho ndiyo huleta baraka au laana kwa mtu kulingana na matendo yake.
  11. N

    Huyu mtoto amepoteza uhai akielekea kanisani kwa kugongwa na pikipiki; kwanini Mungu hakumlinda?

    Najua unafaham. Tzama hapa maana ya roho kulingana na kamusi kuu ya kiswahili.Chukua sasa hiyo namba 1-3, je unaamini uwepo wake?
  12. N

    Huyu mtoto amepoteza uhai akielekea kanisani kwa kugongwa na pikipiki; kwanini Mungu hakumlinda?

    Nikuulize, je, unaamini uwepo wa roho na nguvu ya kiroho?
  13. N

    Huyu mtoto amepoteza uhai akielekea kanisani kwa kugongwa na pikipiki; kwanini Mungu hakumlinda?

    Mkuu Kiranga, Je, unaamini uwepo wa roho na nguvu ya kiroho?
Back
Top Bottom