Recent content by NDUBWILA

  1. N

    JamiiForums Tanzania Huyu hafanani na Mwl. Julius Nyerere hata kidogo..!

    Nyimwa vyote ila usinyimwe akili
  2. N

    JamiiForums Tanzania Bashe: Albert Msando usitafute cheo kwa kupitia mgongo wangu, pambana na hali yako

    Hapo ndio ujue babu zetu hawakukosea waliposema "hasira hasara". Sawa alikuwa ana hasira na hasara ya hasira zake zimeonekana, alipanda tena jukwaani kutengua kauli? Wafuasi wameelewa kuwa ilikuwa ni hasira na ameichukuliaje hasara aliyosababisha?
  3. N

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli asikitishwa na kifo cha Mwanafunzi wa NIT, aliyeuawa na Polisi

    Ndugu, wengine wapo ili kukamilisha idadi hivyo usijichoshe nao.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli asikitishwa na kifo cha Mwanafunzi wa NIT, aliyeuawa na Polisi

    Ndugu, unataka kupunguza unenene? Wengine wapo ili idadi itimie kwa hiyo usihangaike nao.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwenda kwa Askofu Kardinali Pengo

    Acha upotoshaji
  6. N

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwenda kwa Askofu Kardinali Pengo

    Na katika miongozo hiyo, halitakiwa kuwa na upendeleo.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwenda kwa Askofu Kardinali Pengo

    Sio kweli, usikurupuke uliza ueleweshwe na kuna mtu aliuliza humu na amejibiwa kwa usahihi. Unapoikuta mada ilishaanza kujadiliwa, ni vyema ukaanzia mwanzo ili uelewe azidi.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwenda kwa Askofu Kardinali Pengo

    Hakupaswa kuwajibu waandishi wa habari juu ya msimamo wa Kanisa Katoliki, alipaswa kuwaelekeza kwa Mwenyekiti wa Baraza la Maaskofu.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwenda kwa Askofu Kardinali Pengo

    Hiyo ndio akili ya watanzania wengi ndugu, halafu ndio umasikini uondoke, si rahisi.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwenda kwa Askofu Kardinali Pengo

    Sidhani kama mleta mada haelewi hili ila inastaajabisha Askofu Pengo anapowasemea maaskofu wengine. Yeye akitoa maoni yake, hakuna Askofu anayesisitiza chochote katika maoni hayo hata kama ni tofauti na mtazamo wake ila wenzake wakitoa maoni ambayo ni tofauti na ya kwake yeye anasisitiza kuwa...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwenda kwa Askofu Kardinali Pengo

    Hapana, anaidhalilisha Injili ya Yesu Kristo na Yesu Kristo mwenyewe.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwenda kwa Askofu Kardinali Pengo

    Samahani ndugu, wewe ni mkatoliki?
  13. N

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwenda kwa Askofu Kardinali Pengo

    Hata mimi ni kardinari wangu lakini sikubaliani naye katika haya. Watanzania wenzangu, uzalendo si kushabikia au kutetea vyama bali kushabikia na kutetea taifa.
  14. N

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU yamshikilia aliyekuwa Rais wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Bwana Gratian Mkoba

    Tatizo inachagua wa kuwakamata
  15. N

    JamiiForums Tanzania ARUMERU, ARUSHA: Katibu wa CHADEMA Kata ya Ambureni na wakala Mmoja watekwa. Gari Aina ya Rav 4 latumika

    Mamlaka husika inatakiwa kutoa majibu ya huu utekaji wa mara kwa mara. Hivi kweli watanzania tumefika mahali haya mambo yanatokea halafu wafia vyama wanashutumiana mitandaoni bila mamlaka husika kutolea maelezo na watu kuchukuliwa hatua za kisheria? Halafu bado mnataka watanzania tuwe na imani...
Back
Top Bottom