Recent content by Nduakweru

  1. N

    East African Federation (EAF) public Views

    So let's settle at this: WE DON'T WANT A FEDERATION. PERIOD!
  2. N

    East African Federation (EAF) public Views

    Mawazo mazuri, nami nakubaliana nawe. Tumewashika mkono siku nyingi, tuliwapokea wakimbizi miaka mingi, wameishi Uganda, Tanzania (kwa wingi sana) na hata Kenya. Tumewafanyia hisani ya kutosha, na huu naamini ndio ujirani mwema. Lakini viumbe wazito hawa, hawabebeki! Wajirekebishe kwanza kasoro...
  3. N

    East African Federation (EAF) public Views

    Kwa uliyosema mh Kabwe (au bwana mdogo Zitto kama nilivyokuwa nikikuita pale Mlimani UDSM) nakubaliana na wewe kuhusu shirikisho la kiuchumi, na ninaweka msisitizo huo huo wa kwako kwenye MASOKO. Lakini kwenye shirikisho la kisiasa NAKATAA kabisa na sitaki kuona kwa sasa nikiwa chini ya serikali...
Back
Top Bottom