Recent content by ndo vile

  1. N

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu juu ya kauli ya Rais Samia "Tusilazimishe vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kufanya mengine"

    Hawaweka wazi mengine ni yap hivyo kila mtu anaweza kuwa na maoni yake
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu juu ya kauli ya Rais Samia "Tusilazimishe vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kufanya mengine"

    Habari za leo wapendwa, Katika muendelezo wa ziara za mh.Rais katika kanda ya ziwa ,mengi yanatokea,na mengi yataendelea kutokea. Hii inashaabiana moja kwa moja na kauli ya wahenga inayosema "kwenye wengi kuna mengi" Binafsi sishangazwi sana na mijadala mbalimbali inayoendelea kwenye mitandao...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mpina umeteleza, huu siyo wakati wa kuomba huruma ya wananchi, nasimama na Rais Samia

    Basi sawa mm mjinga ww ni mwerevu
  4. N

    JamiiForums Tanzania Mpina umeteleza, huu siyo wakati wa kuomba huruma ya wananchi, nasimama na Rais Samia

    Nimeona kaka imenipa picha kuwa kuna kikundi cha watu wachache kwenye mitandao kazi yao ni kueneza chuki kwa Rais wetu kipenzi ,ila site Rais anapendwa mno
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mpina umeteleza, huu siyo wakati wa kuomba huruma ya wananchi, nasimama na Rais Samia

    Mama ni mtulivu sana hana jazba,labda jazba hulete wewe
  6. N

    JamiiForums Tanzania Mpina umeteleza, huu siyo wakati wa kuomba huruma ya wananchi, nasimama na Rais Samia

    Cha ajabu ni kipi,mbona ww unanunua bando kudownload nyimbo za Michael Jackson ambaye ni bilionea
  7. N

    JamiiForums Tanzania Mpina umeteleza, huu siyo wakati wa kuomba huruma ya wananchi, nasimama na Rais Samia

    Kwa hiyo ukidaiwa ndiyo utangazwe
Back
Top Bottom