Recent content by Ndivyo Ilivyo

  1. N

    Tanganyika ilikufaje Z'bar ikasalimika?

    sawa nakubaliana nawe. Lakini tuende hivyo hivyo sasa. Hizo hila zilizofanya Tanganyika kuwepo ndio hizo hizo (Nyerere huyo) zinazoifanya Zanzibar kupumuwa na kutamba hivi sasa. Sawa -Tukipumua kule kwa kutumia misngi hiii hii ya Muungano musilete fujo. Acheni yale mazowea aliyokufundisheni Baba...
  2. N

    Siku Za Utawala Wa SMZ Na CCM Yake Zanzibar Zinahesabika...

    Mueleze huyo. Na kwa kweli Kisiwandui ndiyo wanaoamua wakati mwengine hata Rais wa Jamhuri ya Muungano awe nani. Ama kweli Duniani kuna mambo!!!! na Dunia rangi rangile.
  3. N

    Maamuzi ya NEC ya CCM na Hatima ya Spika Sitta

    Wacheni ushamba huo. Sisi hatubabaiki na vijipesa kama hivyo. Na kwa taarifa yako wajumbe wa Visiwani(sema Zanzibar mara nyengine) are not cheap as you are. Lakini huyo Spika wenu haizungumzii Zanzibar -uzuri- ndiyo anakandiwa hivyo. Tafuta kumbu kumbu kuna wakati fulani Spika aliepita (Msekwa...
  4. N

    Lowassa Kuanzisha ABC Television Arusha

    Wewe Bwana, anunue tu ziwepo nyingi hizo. Tupo wengi hivi sasa- unafikiri sote tunaweza kujibanza ITV na kwa Tido tu. Wacha wigo upanuke - tunahiataji ajira Bwana.
  5. N

    Pinda, Muungano, na Hatima ya Zanzibar

    PM pengine bado anajifikiria kuwa akiwemo Bungeni mle yumo kama wakati ule alivyokuwa TAMISEMI au yumo kama akina Mheshimiwa Seleli. Anasahau kuwa ni Waziri Mkuu tena wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na busara zake zinahitajika sana katika matamshi.
  6. N

    Pinda, Muungano, na Hatima ya Zanzibar

    Sawa kwa kumsifia Vuai. lakini mbona hushauri kuwa Pinda naye afuate nyayo za Vuai. Kwa nafasi yake aliyonayo matamshi yake yasiyo na busara (yaliyojaa ubabe) ni karaha -hayo matamshi si awaachie akina Mh. Seleli na wenzake wale wa back-bench.. Pinda mambo yanamzonga Bwana!!!!
  7. N

    Risasi Zaruka Pemba: Ni Katika Zoezi La Uandikishaji Wapiga Kura

    Inachukliza zaidi kuona CUF wanataka kuingia madarakani huko Zenj kwa njia za ubabe , za kijahilia, za kiharamia zisizo za kistaarabu na zenye kuhatarisha maisha ya wanajamii.
  8. N

    Risasi Zaruka Pemba: Ni Katika Zoezi La Uandikishaji Wapiga Kura

    Kife Chama cha Kafu, na uharamia wao Lo!
  9. N

    Maalim Seif Shariff Hamad Aitikisa SMZ

    Sivyo Hivyo ukweli ni kuwa Hapa Zanzibar sewhemu amabayo CUF inaweza kushinda ni Wilaya ya Micheweni, Wilaya ya Wete na Wilaya ya Chake. Wilaya ya Mkoani inagawana majimbo nusu kwa nusu na wapinzani wake. Unguja haiwezi kushinda katika Wilaya yoyote ya huko.
  10. N

    Nani chokochoko baraza la wakilishi la zanzibar?!

    Mawazo yako ni mgando. Unataka referendum leo? Kwa nini hujataka 1970, 1980, 1990, 2000. Usiwazonge kizazi chetu cha hivi sasa na kijacho. Muungano is here to stay. Tumezaliwa katika Muungano na tutabakia katika Muungano. Lete hoja za namna gani ya kuendesha Muungano wetu.
  11. N

    Je wajua kwamba - Serikali ya Muungano haisaidii ruzuku kwa SMS kujiendesha?

    Tulishawahi kukwambia hapa Zanzibar ni Nchi. Upo?
  12. N

    Je wajua kwamba - Serikali ya Muungano haisaidii ruzuku kwa SMS kujiendesha?

    Hili suala ni pana kabisa. SMZ ina jukumu la kuwahudumia Wazanzibari katika mambo yale ya kijamii (elimu, afya, makaazi, kilimo, uvuvi, na kadhalika). Mambo hayo niliyoyaorodhesha hapo wa-Tanzania bara (Wa-tanganyika) wanahudumiwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania(ambayo ni yetu...
  13. N

    Je wajua kwamba - Serikali ya Muungano haisaidii ruzuku kwa SMS kujiendesha?

    Punguza ghadhabu kwa huyo ndugu yangu. Be fair please!
  14. N

    Nani chokochoko baraza la wakilishi la zanzibar?!

    kama wataachwa hao watakuwa si wanasiasa bali ni matapeli. Wanasiasa haswa hawatoachwa. Songa mbele!!!
  15. N

    CUF na Operesheni "Zinduka"

    Aste aste yakhe. Ni jambo la busara kuheshimu viongozi wetu katika jamii. Lipumba ni kiongozi wetu. Kumradhi yakhe!!!
Back
Top Bottom