Kama mnavyoniona niko ndani ya nyumba. Nikaribisheni kiti tu maana nina hamu ya kujua yanayoendelea humu. Nimekuwa nikiwasoma tu kwa juu juu nikagundua kuna mengi humu tena ya kutosha. Nikavutiwa na siasa za humu, mapenzi na stori za hapa na pale. Nimesikia kutakuwa na pati... uwiii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.