Jamani Nina maoni humu mnabishana vitu having msingi hivi kuna MTU alimshikia mwenzie peni wakati wa kupiga kura tukae tukubaliane na matokeo kura ilikua ni siri ya mtu tho mnarumbana nini sasa
Unajua vijana hasa sisi tunaoshinda vijiweni tumekua tunatumiwa bila kujitambua na hawa wanasiasa tuwe makini na wachambuzi wa kila kitu kwa hawa wagombea wetu la sivyo tutajikuta tuliingiza taiga katika shimo ambalo tutashindwa hata kutoka yangu hayooo tuu huwa namalizia akili kuuu mkichwaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.