Habari wakuu,
Kuna jambo kuhusu tohara limemkuta mshkaji wangu naombeni maoni yenu mnisaidie.
Je, ni sawa au ni sahihi kwa mtoto wa kiume kuishi kwenye jamii ya sasa bila kutailiwa? Ni kesi ilomkuta rafiki yangu akiwa akikataliwa kushiriki mapenzi na mahawara wake kisa akufanyiwa tohara
Je...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.