Recent content by Ndagafijo

  1. N

    JamiiForums Naomba Ushauri: Nimejikuta nimeoa mke aliyepitiwa na wengi

    Habarini Ndugu! Naombeni ushauri juu ya hili swala. Nilionana na dada mmoja mwaka 2015 mwezi wa kumi na mbili maeneo ya Mwembeyanga Temeke akiwa kama agent wa DStv akiuza ving'amuzi. Nilinunua king'amuzi na aliponiandalia risiti akaniandikia namba yake yake ya simu akisema kwamba akitokea mtu...
Back
Top Bottom