Recent content by ndaga fijo kyala G

  1. N

    CPU inahitajika

    Ninayo nicheki 0784791233
  2. N

    Noah inahitajika

    Ninayo noah body nataka mil 8
  3. N

    Nauza desktop full

    Picha hizo
  4. N

    Simu hii kwa bei chee, nitafute

    Weka namba yako unayeuza
  5. N

    Nauza desktop full

    IPO ni pentium 4 mlango DVD ina kioo cha flat. Bei 180000 . nicheki Kwa 0784791233 au 0713791233.karibuni sana
  6. N

    Natafuta bajaj tvs used hapa Dar

    Njoo na mil 3 kamili nikupatie TVS namba c
  7. N

    Nauza Pikipiki aina ya SanLG

    Zebanga haidaiwi chochote nilinunua 2013 lkn imeanza bodaboda mwaka Jana august
  8. N

    Nauza Pikipiki aina ya SanLG

    Poa Zanzibar spices nimekuelewa mkuu
  9. N

    Nauza Pikipiki aina ya SanLG

    Bado haijauzika kila MTU anapiga simu anaishia kusema atakuja kiucheki lkn Hamna aliyetokea mpaka sasa
  10. N

    Nauza Pikipiki aina ya SanLG

    Pikipiki bado IPO wadau
  11. N

    Nauza Pikipiki aina ya SanLG

    Wadau nauza hiyo Pkpk kwa laki 7 kwa hasira maana kaniuzi Dereva wangu sina hamu tena na bodaboda nimeinyang'anya nipo mayo tu sijahangaika kwa lolote naona bora niiuze tu umiza kichwa napatikana Kimara au ubungo lkn kwa yeyote yule karibu kwa naomba 0784791233 Au 0713791233 au 0765791233.
  12. N

    Nina laki 2 nahitaji Desktop Computer

    We kama una muda uje uione tu maana kuiona sio kununua kaka upo huru
  13. N

    Nina laki 2 nahitaji Desktop Computer

    Ila nakumbuka mdogo wangu aliniambia ni yakubadilisha window tu maana window iliyopo aliniambia imekaa sana japo aliniahidi atakuja kuniwekea yeye mdogo wangu lkn hajaiweka ipo tu
  14. N

    Nina laki 2 nahitaji Desktop Computer

    Yani hiyo desktop siwezi jua sofa zake coz sizijui ila hiyo ilikuwa inafanya kazi yakuingiza nyimbo na kuburn CD INA mlango wa DVD lkn mengine sijui maana MTU alikwama nikanunua kwa bei nzuri nikaiweka ndani huwa abaitumia Mara chache Mdogo wangu yupo chuo akija likizo na anaisifia tu lkn mi...
Back
Top Bottom